Kwanini watu wa mkoa wa Kagera wanaongoza kwa kipato cha chini licha ya Wahaya kutamba sana?

Mikoa gani Mkuu ambao unaweza kuusogelea bukoba kwa good life standard haupo hata mmoja Mimi nimetembea Sana ogopa mkoa ambao unapata mvua yakutosha ogopa Sana ogopa watu wasomi ogopa Sana ogopa watu walikutangulia Kupata Exposure ya kuijua Dunia ogopa sana
Ogopa sana 😂😂😂😂
 
Mshaanza sifa hapahapa sasa
 
Acha takwimu zibaki hivyo hivyo....

Siku hiz kagera imekumbukwa sana...kuliko kuitwa matajiri bora uitwe maskini...

Maana sisi Tanzania kama nchi bado sana hakuna unafuu wowote...

Siku hiz bukoba nayo inajengwa dual carriageway? Bukoba hatimaye stendi inajengwa? Bukoba kuna jengwa university? Bukoba bandari inapanuliwa...uwanja wa mpira uko vzr, Airport inawekewa Taa, kuna miradi ya maji nk...

Bukoba imekumbukwa sana kuliko hata kipindi cha magu...

Hapa wanajenga barabara ya njia nne Bukoba...

View: https://youtu.be/5wy3ve2dGUk?si=CJKW3P7R8dfC2yen
 
If hakuna viwanda wala uzalishaji wala kilimo.
Hao watu hela wanatoa wapi?
Au ulidhani vitu hivyo vinatengana?
Msipobadilika maendelea kukamata mkia, Si ndio nyie mliambiwa na Chalamila mnafungua maduka saa 5 asubuhi?
Kagera ipo top five nchini kwa kilimo mkuu

Kagera inaongoza kuzalisha ndizi, kahawa, vanilla, maharagwe etc
 
Shemeji zangu nyie mnajikweza mno ila maisha yenu ya kawaida mno.

Binafsi mimi nawachukia kwa mambo yenu madogo madogo ya kifalaguzi:misifa,dada zenu kugawa mali hovyo,ukabila yaani ukienda uhayani kama sio muhaya utasengenywa sana jamaa yanaongea kilugha tu hawajali kama wapo na mtu wa jamii/kabila jingine.Mungu aendelee kuwapa mateso hadi akili iwarudi,mnapitwa kipato na mtu wa Singida na Dodoma mikoa yenye ukame.
 
Acha takwimu zibaki hivyo hivyo....

Siku hiz kagera imekumbukwa sana...kuliko kuitwa matajiri bora uitwe maskini...

Maana sisi Tanzania kama nchi bado sana hakuna unafuu wowote...

Siku hiz bukoba nayo inajengwa dual carriageway? Bukoba hatimaye stendi inajengwa? Bukoba kuna jengwa university? Bukoba bandari inapanuliwa...uwanja wa mpira uko vzr, Airport inawekewa Taa, kuna miradi ya maji nk...

Bukoba imekumbukwa sana kuliko hata kipindi cha magu...

Hapa wanajenga barabara ya njia nne Bukoba...

View: https://youtu.be/5wy3ve2dGUk?si=CJKW3P7R8dfC2yen

Hivi vitu ni vya kawaida sana mzee wangu.....
Kama ndio vinawekwa sasa kweli Bukoba palikuwa pa ajabu.
Means Bukoba ipo miaka 15 nyuma ukilinganisha na mikoa Mingine.
 
Hivi vitu ni vya kawaida sana mzee wangu.....
Kama ndio vinawekwa sasa kweli Bukoba palikuwa pa ajabu.
Means Bukoba ipo miaka 15 nyuma ukilinganisha na mikoa Mingine.
Taja mkoa wenye miradi na maendeleo yote hayo kwa pamoja...ukitoa Dar na Dodoma

Tuungalie mkoa wa Iringa ambao unatajwa wa pili kwa kipato nchini...je una uwanja wa ndege kama wa bukoba? Tazama vijiji vya kilolo je vina barabara za lami na maji kama ilivyo lets say Bukoba vijijini? Je iringa kuwa uwanja wa mpira wa kisasa kama kaitaba? Unaoweza host hata mechi za usiku?
Vip iringa ukiachana na wilaya zinazopiwa na barabara kuu...wilaya za huko zina lami?
Ukiachana na barabara moja ya hapo mjini kati iringa ni wap kuna barabara nzr dual iringa nzima...

Hebu yateje maendeleo yaliyoko Iringa na Kagera hakuna....
 
Iringa ipo mbele ya Kagera miaka 20 mbele.
Let alone Iringa Manispaa, bukoba haifiki hata level za Mafinga.
Kama umefikia level za kufananisha Iringa na Kagera nadhani nikuache mkuu.
 
Kigezo ilichotumika ni per Capita na price index.

Price index itaonesha Kagera walinunua sh 23,000 Kwa mwezi na dsm 230,000 Kwa mwezi. Kgr walikata mgomba, walijichotea maharage, wakanywa kayoga, miti wanapigiana migombani, maziwa wanakamua na nyanya pori.

Kwa dar mahitaji niliyotaja yote wanalipia.

Kagera wanafuraha kuliko dsm.

Wana mijengo mizuri

Shule zao hawarundikani except bmlo

Madem kukupa ni uhakika, wakiwa na ham ya kuliwa coz wanashiba na hawana stress.
Hewa safi
Usafiri hawabanani
Hakuna ushirikina
Hakuna vibaka, Kuna majambazi wenye vyuma vya kupambana jw
Umeme na maji yote, uhakika
Imani ya kikatoliki, kkkt na kiisilam inapendeza
Majamaa yamegonga shule sio mchezo
Makampuni makubwa na mengi yanamilikiwa ama na mhaya au mchaga

Misifaaaaaa kama yote.

Nitarudi bukoba, Charlotte bar & Lodge ndo naloweshaga magodoro
 
Kipato Cha Mtu mmoja mmoja kagera wapo vizuri ila Swala la uchumi huwa wanatazama zaidi revenue mapato yanayokusanywa Sasa bukoba Hakuna viwanda wala product Ambazo zinazalishwa kwa wingi compare to other regions

Yale makusanyo kutoka katika Biashara (revenue ) ndo huwa wanayatumia Kama kigezo kuwa bukoba au kagera ni mkoa masikini .

Personally ukienda bukoba hasa bukoba mjini, karagwe, bukoba vijijini n.k watu Kama watu hawana Maisha Magumu wanaishi vizuri wananyumba za bati mashamba ya ndizi ya kutosha mifungo n.k

Sasa ukija Kama dsm ukatafuta Mtu mmoja mmoja utashangaa kuona a lot of people wana shida Sana na hali ngumu za Maisha kulinganisha na watu wa bukoba kagera

Lakini dsm ina viwanda , bandari , Biashara nyingi n.k Ambazo zinaingiza mapato Makubwa serikalini. That is way Wanasema dsm ipo vzr kiuchumi .

Ila tukiangalia quality ya Maisha ya Mtu mmoja mmoja hakuna mkoa watu wanaishi vizuri Kama Bukoba kagera fatilia vizuri.
Bukoba ipi acha kujifariji nynyi ni maskini
 
Ona bukoba mjini tena stand hata kubadili mabati kazi
 
Attachments

  • Screenshot_20231013-222310_Chrome.jpg
    Screenshot_20231013-222310_Chrome.jpg
    329 KB · Views: 5
Ona bukoba mjini tena stand hata kubadili mabati kazi
Picha za 2010 hiz...hata kama una hoja jaribu kuleta current evidence...
Hio stendi ilihamishwa na hakuna stendi tena mahali hapo....magari yamehamishiwa kwa muda kibeta karibu 5km kutoka Bukoba ili kupisha ujenzi wa stendi hiyo ambayo haitatumika kwa mabus tena bali kwa daladala itakapokamilika...
Eneo hilo pia kuna msikiti mkubwa na barabara hizo zimskuwa njia nne ujenzi unaendelea

Serikali iko inajenga upya stendi mahali hapo
 
Watu wa bukobaa Wana panic attak Kuna tofaut ya usomi na maendeleo!! Kwanza walifahamu Hilo, usomi wao ni zaman hizo Kuna makabila yapo mbali zaidi ya wahaya ktk elimu

Ila bukoba wale ndz walale siwez kubishana nao kabisaa aaaniii maake wanaleta usomi na uchumii na mkoa wao ni wa mwisho

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Makabila gan hayo yako mbali sana katika elimu kuliko wahaya nchi hii?
Hebu yataje....
Tatizo mnakuwa na inferiority complex....mnataka wahaya waanze kujidharau kisa tu mkoa wa chimbuko lao una per capita ndogo?

Mkoa kutajwa kuwa na per capita basi kushambulia wahaya...kwan msomi wa kihaya hapaswi kufanya maendeleo sehemu yoyote hadi afanye Bukoba hata kama hayampi faida?

Wahaya watabaki kuwa wasomi na bado wanazidi kutoboa tazama hata idadi yao vyuoni...

Kuhusu kagera kukiwepo chochote cha kuwafanya wawekeze watawekeza tu.....Juzi tu hapa manispaa ya bukoba imetangaza viwanja zaido ya 5000 na vyote vimenunuliwa ndani ya mwezi mmoja...around chuo kikuu kipya kinachojengwa Bukoba
 
Takwimu zinaonesha kwamba, Kagera ni kati ya mikoa ambayo watu wake wana kipato kidogo zaidi. Pamoja na yote tunayofahamu kuhusu wenyeji wa mkoa huo (Si unajua tena: wasomi, wenye pesa, watu wa kwenda nje ya nchi na mengine). Mkoa huo umezidi kudorora kwenye kila nyanja ya maendeleo.

Toa Maoni: unahisi wahaya wanafeli wapi licha ya wao kuwa miongoni mwa makabila matano makubwa Tanzania na kutamba kwenye Majiji kama Dar na Mwanza kwa Elimu, Pesa pia kuongoza kwa kuvuka Border kwenye Ughaibuni, lakini Kagera inapumulia Oxygen kimaendeleo?

Mhaya wa mjini DR HAYA LAND jibuni hoja hizi pamoja na watu wengine.
Wanakula sana wadudu (senene), unajuwa unapokula hawa panzi nawe unakuwa na akili za kipanzi.
 
Back
Top Bottom