Kwamba itakuwa huwezi kuhudumiwa mpaka uchanjwe ama.?Hivi wabongo mkuu unawajua ama unawasikia??
Subiri chanjo iletwe hapa halafu uone msongamano kwenye kuchanjwa. Hawa watu waone hivi hivi tu ni vigeu geu hatari ni watu wa kwenda na upepo unakoenda.
Mi nna imani watanzania wengi watachanjwa, hii chanjo haitakua lazima ila itakua lazima kwa namna moja ama nyingine. Inawezekana kuna huduma utazikosa bila kua na chanjo na hivyo kukulazimu uchanjwe, sidhani kama serikali itaileta tu afu iwe hiyari kirahisi namna hiyo.
Ni kama waliposema kujisajili kwa ajili ya vitambulisho vya taifa watu walikua wajajivutavuta, wakagusa panauma kwenye laini za simu, mpaka leo nida kuna watu wanazisakama hizo namba tu mambo yao yaende.
Una maana gani unaposema 'kila mtu'?Huku Mtaani Mkuu kila mtu ni Hataki kusikia chanjo nafikiri kwa sababu watu walijengwa hivyo
Kweli Kabisa Mkuu Tujaribu kuangalia uhalisia wa watalaa... siku hizi Mataga wanatambulika kama watanzania "wengi"? Be serious ndugu; labda hayajawahi kukukuta; nenda hospitalini uone wagonjwa wa Covid wanavyoteseka utatamani chanjo ije muda huu huu! Tuwaonee huruma wazee wetu na wengine wenye matatizo ya kiafya; corona ni hatari sana kwa uhai wao! Mataga achana nao hawafagi Corona wale!
Huko mtaani umeuliza watu wangapi..usi generalize kwa kusema kila mtu!Huku Mtaani Mkuu kila mtu ni Hataki kusikia chanjo nafikiri kwa sababu watu walijengwa hivyo
Baada ya kamati ya corona iliyoundwa na Rais wetu Mh Samia suluhu kupendekeza Wantanzania kupata chanjo, Watanzania walio wengi wamepinga sana kupata chanjo ya Covid 19,
Kwa hali Hii serikali inatakiwa iangalie kwa namna nyingine kwa Maana nchi na uongonzi wake ni watu ambao ni watanzania wala siyo kulazimisha ,naamini kupitia Rais wetu itaangalia zaid maoni ya Watanzania
Mapendekezo yangu
1)Serikali iwe na Msemaji Mkuu wa Covid 19 ambaye ni Dr hasa kama katibu Mkuu prof Abel Makubi , awe siyo Mwanasiasa
2)Swala la chanjo huwezi lipinga kwa maana ndio Suluhisho la Kudhibiti ugonjwa tunakoelekea
3) Kwa Hali ya uelewa chanjo kwa sasa serikali isilazimishe ielewee wananchi wengi wako kwanin hawaitaki chanjo
4)Serikali iendele kusimamia njia za kujikinga na ugonjwa ichukue hatu kali bila kujali watanzania wanasemaje kwa ajili ya faida ya afya wengi
Nimetabiri tu mkuu, sidhani kama itakua hiari to that extent. Labda tusubiri tuone itakuaje ila lazma tu kuna kanguvu katatumika kupush hiyo chanjo, kuhusu kusambaza elimu zaidi kibongo bongo ni wachache watakaoikubali hiyo elimu ndgu.Kwamba itakuwa huwezi kuhudumiwa mpaka uchanjwe ama.?
Walikaririshwa, wakakariri sasa wanakiimba wasichokijua...Baada ya kamati ya corona iliyoundwa na Rais wetu Mh Samia suluhu kupendekeza Wantanzania kupata chanjo, Watanzania walio wengi wamepinga sana kupata chanjo ya Covid 19,