Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,427
Huwa nashangaa pale ambapo nyuzi karibu zote za Kenya section zimeanzishwa na Watanzania ilhali nyuzi za mapenzi section au nyuzi zingine za Kitanzania zimeanzishwa na Watanzania wenyewe.
Hii inaashiria kwamba Kenya ni babu la Watanzania ndio maana hawawezi kuishi bila kuwaza Kenya na kuposti posti mambo ya Kenya. Unapata Mlazy amefanya research kuhusu Kenya na ametumia data bundles nyingi kutazama videos za Kenya kwenye youtube. Wanasoma magazeti za Kenya usiku na mchana.
Wanajua mambo mengi kuhusu Kenya hata kushinda wakenya wenyewe. Watanzania wanaoongoza kuwaza Kenya ni Geza Ulole na joto la jiwe.
Nini chanzo cha tabia hii?