Kwanini Watanzania wako obsessed na Kenya?

Yaani Kenya mpaka vijijini ni muziki wa bongo Flava Tu...nimeshangaa sana...cd kibao kwenye taxi matatu vijiwe nongwa etc..t-shirt za wcb mara unaona magufuli stationery( Iko eldoret)
Hapo nayo mumetushinda, kwa vile hamna lingine la kufanya, kazi huko Tanzania ni kuimba na kuzaana tu! Huku Kenya uki ambia mzazi unataka kuwa mwanamziki, kwanza atahuzunika sana, kwa sababu hatuoni ikiwa kitu serious, tunapenda masomo na kufanya kazi halisi.
 
Tanzania chronic malnutrition is above the african average with 32% of the children under 5 having stunted physical and mental growth. enda website ya WFP uone jinsi wanawasaidia kutoka kwa vyakula vyenyu hafifu ya mihogo na maharage.

WFP is supporting government efforts to combat malnutrition in all its forms and is distributing specialized nutritious foods to address stunting.

Punguzeni kula maharage na mihogo. Mboga, carrot, peas etc pia ni chakula, nyinyi mumejiweka tu kwa maharage, mihogo na mahindi.
zaidi ya wakenya 2000 hutegemea hili jalala kama kimbilio lao kwa chakula cha kila siku.

Wakenya mnayo safari ndefu sana na mnatia huruma hasa kwa kufake life, maisha ya wakenya 99% ni ya hovyo sana, sifurahi kabisa haya sababu kiubinadamu si vizuri.
 
zaidi ya wakenya 2000 hutegemea hili jalala kama kimbilio lao kwa chakula cha kila siku

Wakenya mnayo safari ndefu sana na mnatia huruma hasa kwa kufake life, maisha ya wakenya 99% ni ya hovyo sana, sifurahi kabisa haya sababu kiubinadamu si vizuri.

Kawaida ya ujinga wenyu Watanzania, kuenda twitter badala ya kunagalia WFP, UN na global nutrition report. Yani udaku mnachukua kuwa habari ya kweli ikiwa inaonesha kenya vibaya.

Kweli mko na shida mingi, na kutokuwa na akili ni moja ya hizo shida. Mumechukua udaku na ujinga yenyu ya kijiji mkaileta mtandaoni.
 
Kawaida ya ujinga wenyu watanzania, kuenda twitter badala ya kunagalia WFP, UN na global nutrition report. Yani udaku mnachukua kuwa habari ya kweli ikiwa inaonesha kenya vibaya.

Ktn ni udaku siku hizi?
 
they buy and process locally
 
Yani Leo hii una type kwa kiswahili na upo kwenye jukwaa letu af bdo unajisifu kwamba Tanzania tuna mda wa kuwafatilia?

Huewez kujiuliza wala kufkria? Au akili yako ipo kwenye hivo vidole vyako vinavyo type.
 
Tanzania chronic malnutrition is above the african average with 32% of the children under 5 having stunted physical and mental growth. enda website ya WFP uone jinsi wanawasaidia kutoka kwa vyakula vyenyu hafifu ya mihogo na maharage.
WFP is supporting government efforts to combat malnutrition in all its forms and is distributing specialized nutritious foods to address stunting.

Punguzeni kula maharage na mihogo. Mboga, carrot, peas etc pia ni chakula, nyinyi mumejiweka tu kwa maharage, mihogo na mahindi.
Wewe huna tofauti na kichaa hapo ulipo kama umekila cjui ando mawe yapo jikoni ila kama leo umebahatika Kula bac vyote vilivyopo tumboni mwako % 90 from TANZANIA tukianzia ugali Nyanya, vitunguu, kama cjui una pesa hata ya Kula hilo tunda na kama umebahatika bc kaa ukijua from TZ sasa unaposema tuna mihogo tu na maharagwe wakati hata serikali yako inajua TANZANIA Nani bc itakua we una kimojawapo Kati ya haya labda umezidishiwa au umepungua kichwan haziko sawa.
 
Hapo nayo mumetushinda, kwa vile hamna lingine la kufanya, kazi huko Tanzania ni kuimba na kuzaana tu! Huku Kenya uki ambia mzazi unataka kuwa mwanamziki, kwanza atahuzunika sana, kwa sababu hatuoni ikiwa kitu serious, tunapenda masomo na kufanya kazi halisi.
Yani kama chizi unajisifia upuuzi TANZANIA ilikua hivyo miaka ya 98 ninyi 2020 ndio mupo hivyo halafu unajisifia ndio maana mpaka mpira ligi ya TANZANIA ndio ligi bora E. A na kati kila mchezaji ya Kenya anaota kuchezea Tanzania tu.
 
Kawaida ya ujinga wenyu watanzania, kuenda Twitter badala ya kunagalia WFP, UN na global nutrition report. Yani udaku mnachukua kuwa habari ya kweli ikiwa inaonesha kenya vibaya.

Kweli mko na shida mingi, na kutokuwa na akili ni moja ya hizo shida. Mumechukua udaku na ujinga yenyu ya kijiji mkaileta mtandaoni.
We kichaa ee kwenda Twitter wakati hiyo TV yenu ya Taifa unaipinga.
 
Una mawazo ya kiboya kabsa yani kuleta Mada kama hii twakushangaaa inaelekea mnatuwaza sana huko vipi viwanja vimekata nn mna haaa!
 
Hata ile nyuzi ya Waganda ingekuwa imechangamka kama hizi za Kenya na Tanzania tunge juika nao sema wamelala sijui umewapga zonga maana Wakenya hamshindwi.
 
Back
Top Bottom