Watanzania wakamatwa Kenya wakiwa njiani kwenda kujiunga na Al Shabaab

Averos

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
993
695
Watanzania wawili wamekamatwa kenya wakitaka kuvuka kwenda Somalia kujiunga na Alshabaab
Screenshot_20230715_174208_Chrome.jpg
---

Polisi wanawashikilia Abdirahman Shaffi Mkwatili(25) na Sadam Jafari Kitia(30) waliokiri walikuwa wakielekea kujiunga na Al Shabaab, baada ya kuwakamata Julai 12, 2023 wakiwa na daftari lililoandikwa kwa Kiswahili ambalo linadaiwa walikuwa wakitumia kuwaongoza kutoka Tanzania hadi Jilib, Somalia.

Kukamatwa kwao kumekuja Wiki 2 baada ya Watanzania wengine watatu, Abdul Saif Salimu, Zuberi Ngare Mtondoo na Seif Abdalla Juma, waliodaiwa kuwa katika harakati za kujiunga na kundi hilo kukamatwa Nchini Kenya kufuatia taarifa za Wananchi.
---

Officials said Tanzanians Abdirahman Shaffi Mkwatili, 25 and Sadam Jafari Kitia, 30 were nabbed on Wednesday in the possession of a notebook scribbled in Swahili that they were using to guide their movement from Tanzania to Jilib.

According to police, the suspects revealed that they were heading to Somalia to join al Shabaab after being recruited and facilitated by their handlers in Tanzania.

Police said this is a trend that they have noted with recruits travelling to join either al Shabaab or Daesh, that they are provided with travel arrangements avoiding communications while on the way or asking people about the route to avoid raising suspicion.

Police sources said the arrests come two weeks after three other Tanzanians Abdul Saif Salimu, Zuberi Ngare Mtondoo and Seif Abdalla Juma, were nabbed in the same area following a report by members of the public.

A Ugandan national was also recently arrested in Liboi on his way to Somalia, with police noting that this was made possible following the collaboration between security agencies and the community.

The security agencies further cautioned Public Service Vehicle operators to be alert and share any information on the movement of suspicious foreigners.

“The ongoing war against terrorism by the security agencies continues to frustrate the recruitment and facilitation of recruits destined to Somalia to join al-Shabaab,”’ a police report said.

Security agencies have increased their surveillance and investigations that of late has seen swift arrests of youth travelling to join terror groups and cells in Somalia.

Some of the foreigners joining the terror groups are usually used as suicide bombers in various places, officials say.

Kenya has been a victim of such attacks in the past that left many dead.

Meanwhile, a court Friday July 14 ruled on the case against Mohamed Abdi Ali alias Abu Fidaa, Nuseiba Mohamed Ali, Abdirahman Idriss Hassan and Salah Mohamed Khalif that they have a case to answer.

The accused persons face various charges under the Prevention of Terrorism Act (POTA) including directing the commission of a terrorist act, recruitment of members of a terrorist group, soliciting for the commission of a terrorist act, collection of information, promoting a terrorist act, organizing a meeting in support of terrorist group and membership of a terrorist group.

The group had been arrested in 2016 and were in custody pending the court hearing.

In the ruling, the court placed Abu Fidaa and Nuseiba on their defense whereas Idriss and Khalif were acquitted under provisions of section 210 of the Criminal Procedure Code (CPC).

Defense hearing for the two is slated for August 21 to 25, 2023.

The ruling was delivered virtually by chief magistrate Martha Mutuku at the Mombasa law courts.

Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
 
Wamepatia wapi mafunzo
Hawa walikuwa wanaenda kwaajili ya kujiunga na kundi hilo kwahiyo hawana mafunzo yoyote, kama wangefanikiwa kujiunga kwa uelewa wangu ndio wangepatiwa hayo mafunzo ya kijeshi na kigaidi halafu ndio wanakabidhiwa majukumu mengine kama Al-Shabab kamili.
Umeelewa au bado.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Kwa anayejua anisaidie kujua inakuwaje mwisho wa hawa wanaokamatwa huko Kenya

Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
Watarejeshwa kisha watashtakiwa kwa kosa la kujaribu (attempt) kujiunga na kikundi cha kigaidi.

Hukumu ya kutaka kujiunga na kikundi cha kigaini sijui ni miaka mingapi kwa Tanzania. Lakini mpaka kesi imalizike inawezekana wakazungushwa huko mahabusu hata miaka 10.

Huko kukaa mahabusu ni trick ya serikali kumchelewesha mtuhumiwa ili kuiua ile nia yake ya kujiunga na magaidi. Wanaamini mtu akishadhoofishwa kwenye mahangaiko ya muda mrefu nia na uwezo wake pia vitafifia.

Case study ni kesi ya uamsho waliokuwa wanashikiliwa kwa kutaka kuunda kikundi cha kigaidi na kutaka kuvunja muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Hawa walikaa mahabusu na kuteswa kwa miaka zaidi ya saba ambapo Rais Samia alikuja kuwaachilia watuhumiwa bila hata kupata hukumu.

Case ya pili ni zile tuhuma bandia alizobambiliwa mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe. Sote tulijionea alivyosota mahabusu bila dhamana mpaka alipoitwa ikulu na Rais Samia kwa ghafla bila maelezo yanayoeleweka na binadamu wa kawaida.

Tujihadhari na makosa ambayo yanataja neno ugaidi.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom