Kwanini Watanzania wako obsessed na Kenya?

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Huwa nashangaa pale ambapo nyuzi karibu zote za Kenya section zimeanzishwa na Watanzania ilhali nyuzi za mapenzi section au nyuzi zingine za Kitanzania zimeanzishwa na Watanzania wenyewe.

Hii inaashiria kwamba Kenya ni babu la Watanzania ndio maana hawawezi kuishi bila kuwaza Kenya na kuposti posti mambo ya Kenya. Unapata Mlazy amefanya research kuhusu Kenya na ametumia data bundles nyingi kutazama videos za Kenya kwenye youtube. Wanasoma magazeti za Kenya usiku na mchana.

Wanajua mambo mengi kuhusu Kenya hata kushinda wakenya wenyewe. Watanzania wanaoongoza kuwaza Kenya ni Geza Ulole na joto la jiwe.

Nini chanzo cha tabia hii?
 
Waelewe tu na uwaonee huruma, wapo frustrated sana na maisha na wana bifu zao personal. Kwa mfano huyu mzee hapa huwa ana hasira sana kwasababu walinyang'anywa shamba lao na manyang'au.
To be fair I find this report to be
distorting. I pretty much believe what
Magufuli does is noble and the country
Tanzania needs someone like him. I say
this because my family alone has been a victim of land grabbers from our Northern
neighbors that got our piece of land through bribery
. Pretty sure by the time he goes no nyang'au will dare call us shamba la bibi. Much respect to him...
 
Kenya has recently improved in some sectors of the economy, FDI , taxation and IT but Tz is still analog
 
Lies , Tanxania is my ex country before I moved , I know the country its one state man ,who make decisions of the whole country, no freedom of press, I bet kenya is doing better that our country
Kenya
1)Tribalism
2)Corruption
3)Political instability
4)Hunger
5)Crime
6)Police brutality
7)Terrorism
8)Slums
9)Water scarcity
10)Unemployment

Tanzania is far better
 
Huwa nashangaa pale ambapo nyuzi karibu zote za Kenya section zimeanzishwa na Watanzania ilhali nyuzi za mapenzi section au nyuzi zingine za Kitanzania zimeanzishwa na Watanzania wenyewe.

Hii inaashiria kwamba Kenya ni babu la Watanzania ndio maana hawawezi kuishi bila kuwaza Kenya na kuposti posti mambo ya Kenya. Unapata Mlazy amefanya research kuhusu Kenya na ametumia data bundles nyingi kutazama videos za Kenya kwenye youtube. Wanasoma magazeti za Kenya usiku na mchana.

Wanajua mambo mengi kuhusu Kenya hata kushinda wakenya wenyewe. Watanzania wanaoongoza kuwaza Kenya ni Geza Ulole na joto la jiwe.

Nini chanzo cha tabia hii?
Hivi we unaakili timamu ?.hapo ulipo upo kwenye nyumba ya TANZANIA halafu unatamba Watanzania wanawaza wakenya
 
Huwa nashangaa pale ambapo nyuzi karibu zote za Kenya section zimeanzishwa na Watanzania ilhali nyuzi za mapenzi section au nyuzi zingine za Kitanzania zimeanzishwa na Watanzania wenyewe.

Hii inaashiria kwamba Kenya ni babu la Watanzania ndio maana hawawezi kuishi bila kuwaza Kenya na kuposti posti mambo ya Kenya. Unapata Mlazy amefanya research kuhusu Kenya na ametumia data bundles nyingi kutazama videos za Kenya kwenye youtube. Wanasoma magazeti za Kenya usiku na mchana.

Wanajua mambo mengi kuhusu Kenya hata kushinda wakenya wenyewe. Watanzania wanaoongoza kuwaza Kenya ni Geza Ulole na joto la jiwe.

Nini chanzo cha tabia hii?
Kwanza ukitaka kujua Watanzania sio wakenya karibu nchi zote zinazotuzunguka tunazijua kiundan kuliko wao wenyewe hiyo ndio sifa ya Watanzania na huu ndio uzalendo na ndio maana hata viongozi wetu wakiamua kupiga spana Kwa kila taifa lazima liombe poo Kwa kua kila taifa tunalijua udhaifu wake upo wapo
 
Wewe unafanya nn humu ndani kwa platform ya Watanzania? umeona hii?

US tells Kenya to publicly support Israel or forget free trade deal
Hii nani hajui. Kenya we support Israel, infact Kenya is lobbying to get Israel as an observer nation in the AU and we are not ashamed. We were there when the American embassy in Jerusalem was being opened, as a government policy we do not support boycotting Israel and we can not be friends with terrorists in palestine.

As a member of Kenya Friends Of Israel, I support Israel 100% and openly, in fact I have volunteered with sar-el in Israel. Tafuta kitu mpya.

12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom