Kwanini Watanzania tusianze massive constructions of apartments nchi nzima?

Sawa mtajua wenyewe kikubwa Mimi siwezi ishi kwenye apartment sijashindwa kujenga bangaloo langu.
Kama unaweza kujenga decent house ni sawa kujenga nyumba yako mwenyewe
Ila in my opinion, hii hapa chini sio sawa. Yani hapa sio tu mpangilio ni mbovu, bali hata nyumba ni below standard
1770876634409.jpg
 
Wazo zuri sana ila kwa kuchangia me nafikiri waanze na apertment za wafanyakazi wa serikali kwanza kama waalimu, madaktari kuwe makato madogo kwenye mshahara kwa ajili ya house rent umeme na maji, internet ziwepo na zikatwe direct kwenye mshahara then baadae zija za wafanyabiashara waliokuwa registered na wanalipa kodi kuwe na viwango tofauti kwenye hayo makazi labda floor ya kwanza hadi ya tatu ni daraja la kwanza ukiendelea kupanda yanakuja madaraja mengine na bei inaongezeka
 
Kuna magorofa kule vikunai yanazeeka tuu. Kwa sasa yanafanya kazi?
 
Nimeamua kumpuuza maana anaongea falacy
Hata kama umeamua kupuuza
Usisahau point yako ya kuwa pato la Mtanzania ni 2.5M kwa mwaka. Pia ujue huo uchumi wa China ulikuwa $300B mkubwa lakini population ilikuwa milioni 900+ which gives worse per capita income than most poor countries today, including Tanzania, na bado wakafanikiwa kujenga makazi bora, which means it's not fallacy
So keep than in mind
 
Kusema ukweli Tanzania tunahitaji apartments kwa sasa. Kwa nini tusijifunze kutoka kwa nchi kama China, South Korea, Singapore nk? Hizi nchi watu wake walikuwa wanaishi kwenye makazi duni sana miaka ya 1960s. Serikali zao zikaanza ujenzi wa apartments ili kuhakikisha wananchi wengi wanapata kuishi kwenye makazi bora. Na leo hii wamefanikiwa, watu wanaishi kwenye makazi mazuri
Nasema hivi kwa sababu clearly hii ya kila mtu kujenga nyumba yake mwenyewe imetushinda. Watu wasijenge nyumba mpaka wajipate, kipindi wanajitafuta wakae kwenye apartments za serikali au kampuni binafsi
NHC wanajenga apartments Dodoma na hata Dar tumeona miradi kama Kawe 711 na Samia Housing Scheme lakini kusema ukweli hii hata haitasaidia kitu. Nyumba za NHC huwa ni expensive ndio maana wanaishia kukaa wahindi na waarabu. Inapaswa zijengwe apartments na bei ziwe rafiki kwa Watanzania wa kawaida ili kupunguza makazi holela, sio hizi za NHC ambazo bei zake Wana afford foreigners tu. Na hata Watanzania wanao afford ni mara kumi wajenge nyumba zao wenyewe maana watapata nyumba nzuri zaidi

Take a look at this

Hapa ni Mbeya
View attachment 3544366
Umeona jinsi nyumba zilivyojengwa bila mpangilio na kuchukua ardhi kubwa bila sababu za msingi? Lakini kama zingejengwa apartment kadhaa, zikapandwa nyasi, miti, mitaro na sewage system mazingira yangekuwa mazuri zaidi ya hivi. Matatizo kama mafuriko, kipindupindu, maeneo kutofikika nk yangepungua na mji ungependeza kimuonekano

Hapa ni Dar
View attachment 3544367
Angalia hicho kipande kidogo kilichojengwa hovyo bila mpangilio
Na hapa pia ni Dar 👇
View attachment 3544369
.
.

Hapa ni MwanzaView attachment 3544368
Hawa watu wote wanaoishi kwenye nyumba zinazoonekana kwenye picha wangetosha kama wangekaa kwenye apartment moja pekee.

Kuzuia mambo kama haya ndio maana Wachina waliamua kujenga apartments nyingi nchi nzima

KWA NINI WACHINA WALIAMUA KUJENGA APARTMENTS NYINGI NCHI NZIMA?

Hapa sababu zote zipo applicable hata hapa Tanzania

1. Ukuaji wa haraka wa idadi ya watu na mijini
China ina miji mikubwa yenye watu wengi. Kwa sababu ya uhamiaji mkubwa kutoka vijijini kwenda mijini (urbanization), kuna hitaji kubwa la makazi. Apartments ni suluhisho linaloweza kuchukua watu wengi katika eneo dogo. Ni kama tu hapa Tanzania (Jiji la Dar lina watu takribani milioni 5.3, Jiji la Mwanza watu milioni 1, majiji ya Arusha, Dodoma na Mbeya yana watu takribani laki 6 each)

2. Ufanisi wa ardhi na rasilimali
Ardhi mjini ni ya thamani kubwa. Kujenga nyumba za ghorofa nyingi (high-rise apartments) kunaruhusu kutumia ardhi kidogo lakini kufikia idadi kubwa ya familia.

3. Kurekebisha gharama za makazi
Apartments nyingi kwa mpango mmoja (mass housing) zinafanya gharama ya kila nyumba kuwa nafuu zaidi kuliko kujenga nyumba binafsi. Serikali pia inaweza kudhibiti bei za nyumba kwa urahisi zaidi.
View attachment 3544376
4. Kurahisisha huduma za kijamii
Wakati watu wengi wakiishi karibu kwenye buildings za makazi, ni rahisi kutoa huduma kama barabara, maji, umeme, shule, hospitali, na usafishaji wa miji.

FAIDA ZA SERIKALI KUJENGA APARTMENT NYINGI TANZANIA NZIMA
1. Bei nafuu kwa wananchi wa kawaida: Serikali inasaidia baadhi ya gharama, hivyo ni rahisi kwa watu wenye kipato cha kati au kidogo. Kuliko kujichanga na kujenga nyumba ambazo ni below standard ni heri mwananchi apange kwenye apartment za bei nafuu

2. Mpango wa usafi na afya
Miji mipya inafanyiwa urban planning, hivyo barabara, mifereji ya maji, na taka zinapangwa vizuri. Kuliko mazingira ya uswazi. Mpangilio mbovu una attract uchafu, watu wanatupa taka hovyo na hawaoni aibu kwa sababu mazingira yenyewe hayavutii. Hii ni human psychology (Broken window theory)
View attachment 3544375
3. Usalama
Blocks za apartments mara nyingi zina milango ya kudhibiti, CCTV, na wakaguzi wa usalama. Ukiangalia nchi zote ambazo wananchi wake wanaishi sana kwenye apartment ndio zinaongoza kwa usalama duniani (China, South Korea, Japan, Singapore)
View attachment 3544377
4. Huduma zinakuwa karibu
Shule, maduka, vituo vya afya na maegesho ya umma mara nyingi vipo ndani ya maeneo hayo.

MUUNDO NA MPANGILIO WA MITAA YA APARTMENTS KWA AJILI YA WANANCHI CHINA (Chinese residential neighborhoods)
View attachment 3544372
1. Apartments zinaunganishwa na barabara pana za magari na njia za watembea kwa miguu.

2. Zinajengewa bustani ndogo, miti, na maeneo ya michezo kwa watoto.

3. Urban planning
Kila block ina eneo lake la park, shule, soko, frame za maduka ya msingi karibu nk
View attachment 3544373
4. Mfumo wa maji na umeme umewekwa ili kuepuka matatizo ya usafi na msongamano.

5. Kunakuwa na njia za baiskeli na barabara za watembea kwa miguu

Kwa sababu ni housing mass-production, bei inabakia chini kuliko nyumba binafsi.
Apartments ndogo zina bei nafuu zaidi, zinazofaa kwa vijana, wafanyakazi wa maofisini, familia zinazojitafuta, na hata zilizojipata

View attachment 3544374
Mitaa ya apartments inavyokuwa, unaweza kukuta residential compounds yenye ghorofa 10–30.
Kila block ina green space: miti midogo, bustani za michezo, na sehemu za kukaa.
Njia za barabara haziwezi kuwa na msongamano mkubwa kwa sababu zoning imepangwa vizuri: makazi, biashara, na huduma za jamii hazichanganyiki bila mpangilio.
View attachment 3544378View attachment 3544379
Hizi apartments ndio zimesaidia China kutokuwa na mitaa ya hovyo kama ya hapa kwetu Tanzania. Apartments ni better option ya makazi
Fikiria nchi kama USA Ina uchumi mkubwa kuliko China na Ina watu wachache kuliko China (China Ina watu bilioni 1.4, USA Ina watu milioni 350) lakini USA ina homeless people wengi kuliko China. That means Chinese way is more effective
Hapa Tanzania nako homeless sio wengi lakini sasa watu wanakaa kwenye makazi dunia. Ni muda sasa tuanze kujenga apartments nyingi kila kona ya Tanzania ili watu wakae kwenye nyumba nzuri. Kodi ziwe chini na sisi nchi yetu ipendeze, tupunguze urban sprawl, na matumizi ya ardhi yasiyo ya lazima.
NHC waache kujengea nyumba wahindi na waarabu, waweke bei rafiki ili Watanzania waone sababu za kuhamia kwenye apartments.
Wala sio lazima ziwe apartments ndefu kama za China. Huku hata zikijengwa za urefu wa 5 floors each inatosha
Maana hii hali sio nzuri 👇View attachment 3544369
Bila CCM kutoka madarakani sahau
 
We unafananisha purchasing power ya mwaka 1980 na 2026, unadhani ni sawa?
 
Hata kama sio sawa huoni China per capita income 1980 ilikuwa $195 na Tanzania ya leo per capita income ni $1000+?
So hata kama purchasing power ilikuwa kuvwa miaka ya 1980s it is still comparable to Tanzania today kwa sababu China's per capita income was extremely low that's why it was considered as one of the poorest countries in the world despite being 7th largest economy
 
Hii hata Watanzania wenyewe tunaweza kufanya.
Hii ni South Africa
View attachment 3544386
View attachment 3544387
.
.
Hii ni Burkina Faso
View attachment 3544388.
.
Hapa ni Angola
View attachment 3544389
.
.
Na hapa ni Tanzania (Kawe 711) project. Tatizo hizi za NHC huwa ni expensive, wana tamaa wanataka faida irudi ndani ya miaka 5 sijui. Tukijipush tunaweza kuanza kujenga kwa lengo la kupunguza makazi duni lakini we're not serious enough
View attachment 3544390
Bila kubadilisha katiba, kuwezesha uchaguzi wa haki hatuwezi kupata serikali ya kusimamia wazo lako zuri.
 
Massive construction = massive amount of $$$$'s

Hiyo capital ipo wapi mkuu kwa uchumi wa uchuuzi huu wa bidhaa za wachina unaotegemea kariakoo kama major source of national revenue na betting?

Na land leasing ya maximum 99yrs? Then kuogopa wakenya tu weusi kama sisi, tutaweza multinationals wenye mapesa kuwahandle na macoruption yetu?

Wazo zuri sana ila linaweza kufanywa na generation ya 3 kuanzia sasa tukishapata brain development mkuu
 
Massive construction = massive amount of $$$$'s

Hiyo capital ipo wapi mkuu kwa uchumi wa uchuuzi huu wa bidhaa za wachina unaotegemea kariakoo kama major source of national revenue na betting?

Na land leasing ya maximum 99yrs? Then kuogopa wakenya tu weusi kama sisi, tutaweza multinationals wenye mapesa kuwahandle na macoruption yetu?

Wazo zuri sana ila linaweza kufanywa na generation ya 3 kuanzia sasa tukishapata brain develepment mkuu
Ni kweli nimekuelewa mkuu
Lakini kwa sasa bora tuanze hata na specific areas mfano kulenga maeneo ya uswazi tu kwa miji ya Dar, Mwanza na Mbeya maana kwa Tanzania nadhani hii ndio top 3 ya miji ya uswazi
Tungeanza hata huko mdogo mdogo

Umewahi kuona view ya Dar ndege zikiwa zinatua airport? Ule uswazi, tungeanza kurekebisha maeneo kama hayo
 
Kusema ukweli Tanzania tunahitaji apartments kwa sasa. Kwa nini tusijifunze kutoka kwa nchi kama China, South Korea, Singapore nk? Hizi nchi watu wake walikuwa wanaishi kwenye makazi duni sana miaka ya 1960s. Serikali zao zikaanza ujenzi wa apartments ili kuhakikisha wananchi wengi wanapata kuishi kwenye makazi bora. Na leo hii wamefanikiwa, watu wanaishi kwenye makazi mazuri
Nasema hivi kwa sababu clearly hii ya kila mtu kujenga nyumba yake mwenyewe imetushinda. Watu wasijenge nyumba mpaka wajipate, kipindi wanajitafuta wakae kwenye apartments za serikali au kampuni binafsi
NHC wanajenga apartments Dodoma na hata Dar tumeona miradi kama Kawe 711 na Samia Housing Scheme lakini kusema ukweli hii hata haitasaidia kitu. Nyumba za NHC huwa ni expensive ndio maana wanaishia kukaa wahindi na waarabu. Inapaswa zijengwe apartments na bei ziwe rafiki kwa Watanzania wa kawaida ili kupunguza makazi holela, sio hizi za NHC ambazo bei zake Wana afford foreigners tu. Na hata Watanzania wanao afford ni mara kumi wajenge nyumba zao wenyewe maana watapata nyumba nzuri zaidi

Take a look at this

Hapa ni Mbeya
View attachment 3544366
Umeona jinsi nyumba zilivyojengwa bila mpangilio na kuchukua ardhi kubwa bila sababu za msingi? Lakini kama zingejengwa apartment kadhaa, zikapandwa nyasi, miti, mitaro na sewage system mazingira yangekuwa mazuri zaidi ya hivi. Matatizo kama mafuriko, kipindupindu, maeneo kutofikika nk yangepungua na mji ungependeza kimuonekano

Hapa ni Dar
View attachment 3544367
Angalia hicho kipande kidogo kilichojengwa hovyo bila mpangilio
Na hapa pia ni Dar 👇
View attachment 3544369
.
.

Hapa ni MwanzaView attachment 3544368
Hawa watu wote wanaoishi kwenye nyumba zinazoonekana kwenye picha wangetosha kama wangekaa kwenye apartment moja pekee.

Kuzuia mambo kama haya ndio maana Wachina waliamua kujenga apartments nyingi nchi nzima

KWA NINI WACHINA WALIAMUA KUJENGA APARTMENTS NYINGI NCHI NZIMA?

Hapa sababu zote zipo applicable hata hapa Tanzania

1. Ukuaji wa haraka wa idadi ya watu na mijini
China ina miji mikubwa yenye watu wengi. Kwa sababu ya uhamiaji mkubwa kutoka vijijini kwenda mijini (urbanization), kuna hitaji kubwa la makazi. Apartments ni suluhisho linaloweza kuchukua watu wengi katika eneo dogo. Ni kama tu hapa Tanzania (Jiji la Dar lina watu takribani milioni 5.3, Jiji la Mwanza watu milioni 1, majiji ya Arusha, Dodoma na Mbeya yana watu takribani laki 6 each)

2. Ufanisi wa ardhi na rasilimali
Ardhi mjini ni ya thamani kubwa. Kujenga nyumba za ghorofa nyingi (high-rise apartments) kunaruhusu kutumia ardhi kidogo lakini kufikia idadi kubwa ya familia.

3. Kurekebisha gharama za makazi
Apartments nyingi kwa mpango mmoja (mass housing) zinafanya gharama ya kila nyumba kuwa nafuu zaidi kuliko kujenga nyumba binafsi. Serikali pia inaweza kudhibiti bei za nyumba kwa urahisi zaidi.
View attachment 3544376
4. Kurahisisha huduma za kijamii
Wakati watu wengi wakiishi karibu kwenye buildings za makazi, ni rahisi kutoa huduma kama barabara, maji, umeme, shule, hospitali, na usafishaji wa miji.

FAIDA ZA SERIKALI KUJENGA APARTMENT NYINGI TANZANIA NZIMA
1. Bei nafuu kwa wananchi wa kawaida: Serikali inasaidia baadhi ya gharama, hivyo ni rahisi kwa watu wenye kipato cha kati au kidogo. Kuliko kujichanga na kujenga nyumba ambazo ni below standard ni heri mwananchi apange kwenye apartment za bei nafuu

2. Mpango wa usafi na afya
Miji mipya inafanyiwa urban planning, hivyo barabara, mifereji ya maji, na taka zinapangwa vizuri. Kuliko mazingira ya uswazi. Mpangilio mbovu una attract uchafu, watu wanatupa taka hovyo na hawaoni aibu kwa sababu mazingira yenyewe hayavutii. Hii ni human psychology (Broken window theory)
View attachment 3544375
3. Usalama
Blocks za apartments mara nyingi zina milango ya kudhibiti, CCTV, na wakaguzi wa usalama. Ukiangalia nchi zote ambazo wananchi wake wanaishi sana kwenye apartment ndio zinaongoza kwa usalama duniani (China, South Korea, Japan, Singapore)
View attachment 3544377
4. Huduma zinakuwa karibu
Shule, maduka, vituo vya afya na maegesho ya umma mara nyingi vipo ndani ya maeneo hayo.

MUUNDO NA MPANGILIO WA MITAA YA APARTMENTS KWA AJILI YA WANANCHI CHINA (Chinese residential neighborhoods)
View attachment 3544372
1. Apartments zinaunganishwa na barabara pana za magari na njia za watembea kwa miguu.

2. Zinajengewa bustani ndogo, miti, na maeneo ya michezo kwa watoto.

3. Urban planning
Kila block ina eneo lake la park, shule, soko, frame za maduka ya msingi karibu nk
View attachment 3544373
4. Mfumo wa maji na umeme umewekwa ili kuepuka matatizo ya usafi na msongamano.

5. Kunakuwa na njia za baiskeli na barabara za watembea kwa miguu

Kwa sababu ni housing mass-production, bei inabakia chini kuliko nyumba binafsi.
Apartments ndogo zina bei nafuu zaidi, zinazofaa kwa vijana, wafanyakazi wa maofisini, familia zinazojitafuta, na hata zilizojipata

View attachment 3544374
Mitaa ya apartments inavyokuwa, unaweza kukuta residential compounds yenye ghorofa 10–30.
Kila block ina green space: miti midogo, bustani za michezo, na sehemu za kukaa.
Njia za barabara haziwezi kuwa na msongamano mkubwa kwa sababu zoning imepangwa vizuri: makazi, biashara, na huduma za jamii hazichanganyiki bila mpangilio.
View attachment 3544378View attachment 3544379
Hizi apartments ndio zimesaidia China kutokuwa na mitaa ya hovyo kama ya hapa kwetu Tanzania. Apartments ni better option ya makazi
Fikiria nchi kama USA Ina uchumi mkubwa kuliko China na Ina watu wachache kuliko China (China Ina watu bilioni 1.4, USA Ina watu milioni 350) lakini USA ina homeless people wengi kuliko China. That means Chinese way is more effective
Hapa Tanzania nako homeless sio wengi lakini sasa watu wanakaa kwenye makazi dunia. Ni muda sasa tuanze kujenga apartments nyingi kila kona ya Tanzania ili watu wakae kwenye nyumba nzuri. Kodi ziwe chini na sisi nchi yetu ipendeze, tupunguze urban sprawl, na matumizi ya ardhi yasiyo ya lazima.
NHC waache kujengea nyumba wahindi na waarabu, waweke bei rafiki ili Watanzania waone sababu za kuhamia kwenye apartments.
Wala sio lazima ziwe apartments ndefu kama za China. Huku hata zikijengwa za urefu wa 5 floors each inatosha
Maana hii hali sio nzuri 👇View attachment 3544369
Watanzania hawana utamaduni wa kuishi kwenye ALARTMENTS.

Watanzania wengi ni WAFUGAJI, WAKUKIMA.WADOGO na WAVUVI.

Huwezi kuwaweka kwe ye APARTMENTS.

Halafu suala la ubora wa nyumba, halina mahusiano na APARTMENTS.
 
Back
Top Bottom