Kwanini Watanzania tusianze massive constructions of apartments nchi nzima?

Inawezekana ila gharama atalipia nani?

Jambo la msingi sio kutibu dalili Bali kinga ya ugonjwa.

Plots zote zipimwe kusiwe na ujenzi holela
Tatizo ni urban sprawl. Africa miji yetu Ina sprawl sana which is bad for the next 50 years
Miji kama Los Angeles, Atlas au Philadelphia USA sasahivi wanajuta kwa namna miji hiyo ilivyopanuka (extreme urban sprawl). Miji mizuri ni kama ile inavyojengwa Ulaya.
Au China. China miji yao imepanuka sawa lakini unakuta mji una ukubwa sawa na Los Angeles lakini una watu milioni 20 wakati Los Angeles Ina watu milioni 3. Maana yake for the same size, China inaweza kuhudumia watu wengi zaidi, something which is better for environment

Urban sprawl sio nzuri na hapa Africa ndio itatushinda. Kadri kila new neighborhood inavyojengwa ndio jinsi serikali unapata shida kuanza kuwafikishia maji, umeme, shule, hospitali, barabara, mifereji nk hata uchafuzi wa mazingira unakuwa uncontrollable pia
Wakazi wote wanapaswa kuwa karibu na huduma za msingi which is why apartments ni more practical for long term use
"The Worst of All Worlds: Los Angeles, California, and the Emerging Rea" by Eric Eidlin The Worst of All Worlds: Los Angeles, California, and the Emerging Reality of Dense Sprawl
 
Imagine kwa jinsi tulivyo halaf hapo kwenye hiyo Apartment maji yakatike miezi harufu ya kuanzia floor ya kwanza mpaka ya mwisho itakuwa sio poa
Kukiwa na blocks za apartments inakuwa ni rahisi kutoa huduma za kijamii kwa watu wengi na gharama za kuboresha huduma za kijamii zinakuwa ndogo
Kwa hiyo usambazaji wa maji utakuwa mzuri zaidi
 
Mnazungumzia kujenga apartment hivi hamjui matatizo yanayowakumba nchi za Asia, walikimbilia kujenga apartment wakasahau kuna ardhi nyingine inahitajika kwa kilimo matokeo yake sasa hivi ardhi ya kilimo unaipata Afrika na Amerika kusini.
Usione nchi za Asia zinakuja kuwekeza kwenye kilimo ukafikiri wanalima kwa ajili yako , wao wanalima kwa ajili ya nchi zao hao wazanzibar wanajenga sana apartments wakijisahau kuwa Tanganyika ni koloni lao siku watakappofurumushwa ndio watajua kumbe viongozi wao waliwaingiza hoo cha kike kwani huwezi kula apartment
 
Always kuna Rural na Urban Areas
Hii type ya housing inafanywa kwenye urban areas ndio maana ni mada inayohusu "URBAN PLANNING"
Kilimo kinafanywa zaidi kijijini na kijijini hakuna tatizo la urban sprawl wala maeneo ya uswazi, apartments zinazuia vitu kama hivi
mbeya-tanzania-drone-view-to-city-in-africa-2NAJPB2.jpg

.
.
Halafu kuhusu kilimo ni vile hujui tu. China ni moja ya nchi zinazofanya kilimo sana duniani. Ni moja ya nchi zinazoongoza kulima mpunga, mahindi na ngano. Wana mashamba makubwa sana. Zaidi ya wachina milioni 300 wanajihusisha na kilimo
Africa kuwa na maeneo mengi ya kulima sasahivi ni kwamba kilimo chetu kipo chini. Hatujalima kwa kiasi kikubwa kama inavyotakiwa mpaka unasema wa asia wanakuja huku kulima meaning kule ardhi yao wametumia vizuri kulima hadi wameamua kuja na huku Africa huku tumezubaa

Pia unajua kwamba apartments zikiwa nyingi zinapunguza matumizi ya ardhi na kufanya ardhi kubwa ibaki kwa matumizi mengine
Imagine hapa wangejenga apartments za kuwatosha watu wote hawa, wangekuwa wame save ardhi kiasi gani?
1770876634409.jpg
 
Inaonekana watanzania sikuhizi mna hamu sana nchi yenu iendelee lakini nasikitika kuwataarifu kwamba mawazo yenu hayatotimia. Tanzania ya asali na maziwa ndio basi tena yani tumekwisha 😂😂. Mnajisumbua tu CCM hata haina mpango wa kuboresha maisha ya watanzania. Huo uswazi, mabati yenye kutu sijui mitaro michafu itabidi muzoee tu
 
Always kuna Rural na Urban Areas
Hii type ya housing inafanywa kwenye urban areas ndio maana ni mada inayohusu "URBAN PLANNING"
Kilimo kinafanywa zaidi kijijini na kijijini hakuna tatizo la urban sprawl wala maeneo ya uswazi, apartments zinazuia vitu kama hivi
View attachment 3544437
.
.
Halafu kuhusu kilimo ni vile hujui tu. China ni moja ya nchi zinazofanya kilimo sana duniani. Ni moja ya nchi zinazoongoza kulima mpunga, mahindi na ngano. Wana mashamba makubwa sana. Zaidi ya wachina milioni 300 wanajihusisha na kilimo
Africa kuwa na maeneo mengi ya kulima sasahivi ni kwamba kilimo chetu kipo chini. Hatujalima kwa kiasi kikubwa kama inavyotakiwa mpaka unasema wa asia wanakuja huku kulima meaning kule ardhi yao wametumia vizuri kulima hadi wameamua kuja na huku Africa huku tumezubaa

Pia unajua kwamba apartments zikiwa nyingi zinapunguza matumizi ya ardhi na kufanya ardhi kubwa ibaki kwa matumizi mengine
Imagine hapa wangejenga apartments za kuwatosha watu wote hawa, wangekuwa wame save ardhi kiasi gani?
View attachment 3544447
Acha kuwaza kama mtu ambae hana kichwa, kabla ya kufikiria kujengwa apartments Kama China au Korea Cha kwanza ulichotakiwa kufikiria ni uwezo wa nchi.

Hii nchi ambayo hata vyoo tunajengewa kwa msaada wa watu wa marekani, Leo unawaza kujengwa apartments nchi nzima? Hii nchi ambayo karibu nusu ya watu ni maskini wasioweza hata kuka nilo mitatu lakini bado unawaza projects za apartments nchi nzima?

Kabla ya kuwaza apartments Cha kwanza ilitakiwa mawazo yako yalenge kwa namna gani huu umaskini utapungua
 
Kuna ndoto nyingine inakubidi tu uwe unaziacha zipite. Ulichokisema hakiwezekani kabisa kabisa kabisa!

Nchi per capital ni Tsh. Milioni 2.5 kwa mwaka, embu niambie huyu mtu itamchukua miaka mingapi ku save na kumiliki nyumba?

Maana yangu ni kwamba uchumi wa hii nchi hauna misuli ya kufanya hii project hata ikipita miaka 100.

Makazi yataboreshwa kwa raia wa hii nchi kuacha tabia za kishamba za kununua viwanja vya square meter 200 halafu wanajenga bila kufuata plans.

Unavyoona makazi yalivo mabovu ndo inasadifu pia uwezo wa fikra zetu. Kubadilika itachua muda sana. Ni mpaka fikra za watu zibadilike.
 
Kwa nini umeamua kutumia lugha ya namna hii kuwasilisha mawazo yako?
Kuna mawazo huwa yanawazwa na watu wasio na akili timamu

Huwezi kuwaza Tanzania ijenge apartments nchi nzima alafu hapo hapo nusu ya wananchi wake Ni maskini wa kutupwa. Hiyo pesa ya kujenga mtaitoa wapi?
 
Kuna ndoto nyingine inakubidi tu uwe unaziacha zipite. Ulichokisema hakiwezekani kabisa kabisa kabisa!

Nchi per capital ni Tsh. Milioni 2.5 kwa mwaka, embu niambie huyu mtu itamchukua miaka mingapi ku save na kumiliki nyumba?

Maana yangu ni kwamba uchumi wa hii nchi hauna misuli ya kufanya hii project hata ikipita miaka 100.

Makazi yataboreshwa kwa raia wa hii nchi kuacha tabia za kishamba za kununua viwanja vya square meter 200 halafu wanajenga bila kufuata plans.

Unavyoona makazi yalivo mabovu ndo inasadifu pia uwezo wa fikra zetu. Kubadilika itachua muda sana. Ni mpaka fikra za watu zibadilike.
Hawa wengine wanawaza kama wamekatwa vichwa. Nchi ambayo nusu ya nakusanyo ni kulipa deni, nusu iliyobaki ni kulipa mishahara. Sijui hizo apartments kama nchi zitajengwa usingizini.
 
Hadi kufikia 1980 China ilikuwa na umasikini wa kutupwa na per capita income ndogo kuliko hata ya Tanzania leo hii. Mwaka 1980 China ilikuwa na per capita income ya $195 na wananchi wake walikuwa ni masikini waliokubuhu
Lakini hapohapo 1980 China iliamua kujivuta kufanya miradi yote kupunguza umasikini na kujenga apartments
Walianzisha viwanda vingi, mashamba makubwa, wakaboresha elimu ya ufundi walifanya vitu vingi vya kupunguza umasikini at the same time wakaanza kuwajengea wananchi apartments licha ya uchumi mdogo. Miaka 40 imepita sasa, nchi yao ina makazi bora
Hawakusubiria wawe matajiri kwanza ndio wajenge, bali walianza kujenga makazi tangu wananchi wakiwa hawajiwezi
Wewe umeassume kwamba eti nataka Tanzania iache shughuli zote ianze kujenga apartment tena zote ziwe zimekamilika in 5 years kwa kila Mtanzania, kitu ambacho ni wrong
Ujenzi wa apartments haufanyiki overnight, ni kwamba kila mwaka budget inatengwa kwa ajili ya ujenzi wa makazi, kila mwaka unavyopinduka apartments zinaongezeka. Mpaka miaka 20 inakuja kupita makazi holela yanapungua kwa asilimia kubwa sana. China ndio walifanya hivyo. Hawakusubiria per capita yao ifike hadi $10000 ndio waanze kujenga.
 
Ndo hapo sasa, wanatolea mfano nchi kama china ambayo kwa mwaka tu trade surplus yao ni USD 1 Trillion ambayo inatosha kujenga apartment 20,000 zenye thamani ya USD 50 million kila mwaka.
 
Hadi kufikia 1980 China ilikuwa na umasikini wa kutupwa na per capita income ndogo kuliko hata ya Tanzania leo hii. Mwaka 1980 China ilikuwa na per capita income ya $195 na wananchi wake walikuwa ni masikini waliokubuhu
Lakini hapohapo 1980 China iliamua kujivuta kufanya miradi yote kupunguza umasikini na kujenga apartments
Walianzisha viwanda vingi, mashamba makubwa, wakaboresha elimu ya ufundi walifanya vitu vingi vya kupunguza umasikini at the same time wakaanza kuwajengea wananchi apartments licha ya uchumi mdogo. Miaka 40 imepita sasa, nchi yao ina makazi bora
Hawakusubiria wawe matajiri kwanza ndio wajenge, bali walianza kujenga makazi tangu wananchi wakiwa hawajiwezi
Wewe umeassume kwamba eti nataka Tanzania iache shughuli zote ianze kujenga apartment tena zote ziwe zimekamilika in 5 years kwa kila Mtanzania, kitu ambacho ni wrong
Ujenzi wa apartments haufanyiki overnight, ni kwamba kila mwaka budget inatengwa kwa ajili ya ujenzi wa makazi, kila mwaka unavyopinduka apartments zinaongezeka. Mpaka miaka 20 inakuja kupita makazi holela yanapungua kwa asilimia kubwa sana. China ndio walifanya hivyo. Hawakusubiria per capita yao ifike hadi $10000 ndio waanze kujenga. Idea yako sio sahihi
Kwahiyo China imetoka kwenye umasikini baada ya kuanza kujenga apartments?

Apartments ni matokeo ya ukuaji wa kiuchumi na sio sababu ya kukua kwa uchumi. Elewa vema dhana ya cause and effect
 
China ilikuwa inafanya vitu vyote simultaneously, yani kwa wakati mmoja.
Kama apartments zingekuwa ni effect za wao kutajirika basi wangeanza kujenga miaka ya 2000s maana miaka hii ndio China ilikuwa imeanza kufanikiwa
Ni kwamba unapunguza umasikini huku unaboresha makazi. Hakuna kusubiri umasikini uishe ndio uanze kujenga apartments. Kwanza sidhani kama kuna nchi imewahi kufanya hivyo unavyosema wewe
Kwamba unasubiri umasikini uishe ndio uanze kujenga makazi? Si kweli.

Nchi kama South Korea, Singapore na China zilianza hii project zamani sana wakati bado ni masikini ndio maana leo unaona wako pale walipo na apartments zimejaa nchi nzima
 
Hadi kufikia 1980 China ilikuwa na umasikini wa kutupwa na per capita income ndogo kuliko hata ya Tanzania leo hii. Mwaka 1980 China ilikuwa na per capita income ya $195 na wananchi wake walikuwa ni masikini waliokubuhu
Lakini hapohapo 1980 China iliamua kujivuta kufanya miradi yote kupunguza umasikini na kujenga apartments
Walianzisha viwanda vingi, mashamba makubwa, wakaboresha elimu ya ufundi walifanya vitu vingi vya kupunguza umasikini at the same time wakaanza kuwajengea wananchi apartments licha ya uchumi mdogo. Miaka 40 imepita sasa, nchi yao ina makazi bora
Hawakusubiria wawe matajiri kwanza ndio wajenge, bali walianza kujenga makazi tangu wananchi wakiwa hawajiwezi
Wewe umeassume kwamba eti nataka Tanzania iache shughuli zote ianze kujenga apartment tena zote ziwe zimekamilika in 5 years kwa kila Mtanzania, kitu ambacho ni wrong
Ujenzi wa apartments haufanyiki overnight, ni kwamba kila mwaka budget inatengwa kwa ajili ya ujenzi wa makazi, kila mwaka unavyopinduka apartments zinaongezeka. Mpaka miaka 20 inakuja kupita makazi holela yanapungua kwa asilimia kubwa sana. China ndio walifanya hivyo. Hawakusubiria per capita yao ifike hadi $10000 ndio waanze kujenga.
Nani aliyekuambia china 1980 ilikua na uchumi sawa na Tanzania? China duniani ilikua ya 7, hizi story huwa mnaongopeana wapi?
 
Attachments

  • Screenshot_20260215-191735_1.jpg
    Screenshot_20260215-191735_1.jpg
    379.5 KB · Views: 21
Kwahiyo China imetoka kwenye umasikini baada ya kuanza kujenga apartments?

Apartments ni matokeo ya ukuaji wa kiuchumi na sio sababu ya kukua kwa uchumi. Elewa vema dhana ya cause and effect
Muongo huyo China 1980 haikua sawa na Tanzania kiuchumi. China ilikua top 10 duniani kwa uchumi mkubwa
Huyu bado ana zile story za vijiweni
China 1980 ilikua nafasi ya 7 kwa uchumi mkubwa duniani, China ilikua vizuri kuliko Canada.
Screenshot_20260215-191735_1.jpg
 
Back
Top Bottom