stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 844
- 1,790
🏢 APARTMENTS 10 ZINAUZWA – SALASALA KINZUDI, DSM (KWA MTENGA)
Zinauzwa apartments 10 zilizopo ndani ya fence katika eneo zuri na linalokua kwa kasi la Salasala Kinzudi. Fursa nzuri kwa uwekezaji wa uhakika wa kipato cha kila mwezi.
🔹 Maelezo ya Nyumba:
💰 Mapato:
📐 Ukubwa wa Kiwanja:
📄 Umiliki:
💵 Bei:
- Tsh 250,000,000 (Mazungumzo yapo)
📍 Location: Salasala Kinzudi – Dar es Salaam
📞 Wasiliana Nasi:
Call/WhatsApp: 0743257669
⚠️ Kumbuka:
Gharama ya kupelekwa site kuangalia ni Tsh 50,000
👉 Karibu uwekeze leo kwa uhakika wa kipato cha kila mwezi!
Zinauzwa apartments 10 zilizopo ndani ya fence katika eneo zuri na linalokua kwa kasi la Salasala Kinzudi. Fursa nzuri kwa uwekezaji wa uhakika wa kipato cha kila mwezi.
🔹 Maelezo ya Nyumba:
- Kila unit ni chumba master (self-contained)
- Apartments zote zipo ndani ya uzio (fence)
- Kila mpangaji analipia maji (DAWASCO) na umeme kivyake
💰 Mapato:
- Kodi kwa kila unit: Tsh 150,000 kwa mwezi
- Jumla ya mapato kwa mwezi: Tsh 1,500,000
- Mapato kwa mwaka: Tsh 18,000,000
📐 Ukubwa wa Kiwanja:
- 1,045 sqm
- Bado kuna nafasi ya kujenga apartments 5 zaidi au nyumba kubwa ya kuishi
📄 Umiliki:
- Mauziano yapo kwa mkataba
- Tayari imesharasimishwa na plot namba ipo tayari kuhamishiwa kwa mnunuzi