Wizara ya Ardhi
Govt Institution
- May 14, 2024
- 302
- 163
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kupitia Ofisi za Makamishna wa Ardhi Wasaidizi nchini, inaendesha Kliniki za Ardhi kuanzia tarehe 22 Septemba hadi 3 Oktoba 2026.
Kupitia Kliniki hizo, wananchi watapata fursa ya kupata huduma mbalimbali za ardhi kwa urahisi na kwa wakati, zikiwemo elimu na ushauri kuhusu masuala ya ardhi, utoaji wa Hati za Miliki za Ardhi papo kwa papo, makadirio ya kodi ya pango la ardhi, uhuishaji wa milki zilizoisha muda wake, pamoja na huduma nyingine zinazohusiana na Sekta ya Ardhi.
Kliniki hizi zinaendeshwa chini ya kauli mbiu: “e-Ardhi: Huduma za Ardhi Popote" ikiwa ni jitihada za Serikali kuendelea kusogeza huduma karibu na wananchi.
Karibu tukuhudumie