Afu mimi ni mweusi kama kaniki,nahisi soko langu kwa wasukuma halipo kabisa.
Msiishie kupenda uzuri wa macho tu,angalieni na tabia.
Mwanangu pole! Yani utazalia nyumbani bila kuolewa!
Weupe Dili sn kwetu!
Nyani Ngabu yuko wapi?
Nani aliyekuambia kuolewa siku hizi dili??Unafikiri hao walio kwenye ndoa zao juu ya weupe wa sura ni malaika au ni binadamu??
My dreams ni kuwa single mother,huyo mume hata simtakii .
Hiyo kwenu kimjini mjini Lkn kwetu sisi kuoa au kuolewa Dili kinoma na kuzaa watoto kibao! Alafu mwanamke anakua analima sn shambani km trekta! Alafu mwanaume unakula misele tu! Maana unakua umetoa ng'ombe kuposa! Nagolaga gelegeta!
Nawapa pole wanawake wa huko maana kazi wanayo.
Manselly ni picha ipi hiyo
Niko radhi kutoa 55 cows ila usiwe mweupe gete gete..mi sipendi iyo!!!
ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,miss tanzania mweusi?????????????????????????huyo kweli walikoseaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,tukipewa wasukuma kutafuta mii tz wasau weusi kushinda, nimecheka saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanaNtuzu miss neddy na Mshinga..kipindi kile miss tz hapiness magese alivotwaa taji,alifanyaga ziara mikoani..sasa alivofika mwanza alitembelea maeneo mbalimbali...abhagosha abhasukuma angu bhalina tuja,walitegemea anakuja miss mweupe nginu gete ..sasa aho oshika u hepi..abha jinja she bha mwaloni bhayumela
''agaya,abha swahili bhalinatuja shi,bhatatangagije aliza miss,miss..duhaya aliza ng'wanike opee ngololoku shiza,aliyo bhadenhela miss ke..miss ke ng'wenuyu adeni dako''
kwa hiyo Mshinga weupe nele dako ni added advantage usukumani..lol
Labda mwanangu wewe Msukuma Wa Masaki, Lkn mie Wa gamboshi Lazima ntafute kipusa cheupe na ng'ombe mpk 100 zinatoka kwa Mahali!
Cc Mentor
nyie wasukuma ndio mnaosababisha akina dada full mkorogo siku hizi, uso wa kitoto miguu ya kizee
Gamboshi si kijiji cha wachawi kile?