Kwanini wasichana wakifika chuo wanajiona next level sana?

Nimefuatilia sana msichana akishaingi chuo tu wanajiona matawi sana yani wananata sana ukitaka tu kumtongoza ni shida, appointment zake ni viwanja vikubwa kubwa alafu hataki mpaka umfuate na gari au akodi tax.

Mimi nilikua na msichana alipoingia tu Mzumbe alinimwaga kwa dharau, Mungu hamtupi mja wake nilipata mawe nikafungua kampuni, msichana alipomaliza hana kazi yupo Dar kapauka akaanza kunitafuta ikabidi niaplod uloloo.

Tukaingia faragha tatizo akawa anataka mambo makubwa tukiwa faragha anataka mapenzi ya kisharo wakati mimi nishazoea kuruka ruka nilimshangaa sana si huyo tu, yaani dada zangu wakishaingia chuo wanajiona next level sana wanauzi sana.
Ulimbukeni some of them unawasumbua ... Thanks..
 
Hlo ni kwel kabisa tatizo hawa madada zetu wanakitu flan hivi ambacho ni kibaya kwa mfumo wa maisha ya sasa yan hakuna kitu kibaya kam dharau hki ndicho wengi walichojiwekea na si kwamba wamezaliwa nazo ila wamejifunza ukubwan.....
 
Ukitaka kuoa mwanachuo...labda uoe aliyesoma EDUCATION,wengine hapana aisee tena waliosoma LAW ndio kabisaaa usioe.
 
Nimefuatilia sana msichana akishaingi chuo tu wanajiona matawi sana yani wananata sana ukitaka tu kumtongoza ni shida, appointment zake ni viwanja vikubwa kubwa alafu hataki mpaka umfuate na gari au akodi tax.

Mimi nilikua na msichana alipoingia tu Mzumbe alinimwaga kwa dharau, Mungu hamtupi mja wake nilipata mawe nikafungua kampuni, msichana alipomaliza hana kazi yupo Dar kapauka akaanza kunitafuta ikabidi niaplod uloloo.

Tukaingia faragha tatizo akawa anataka mambo makubwa tukiwa faragha anataka mapenzi ya kisharo wakati mimi nishazoea kuruka ruka nilimshangaa sana si huyo tu, yaani dada zangu wakishaingia chuo wanajiona next level sana wanauzi sana.
Ukiwatoa waliosoma UALIMU,hao wengine ndivyo walivyo hivyo.

Wale ni wa kustarehe nao tu for sometimes ila sio kuoa.
 
Ukitaka kuoa mwanachuo...labda uoe aliyesoma EDUCATION,wengine hapana aisee tena waliosoma LAW ndio kabisaaa usioe.
ila mkuu wa education wamekwama siyo visu aisee wengi wao sura, ngumu hisia mpaka uvute kwa hadija
 
Nimefuatilia sana msichana akishaingi chuo tu wanajiona matawi sana yani wananata sana ukitaka tu kumtongoza ni shida, appointment zake ni viwanja vikubwa kubwa alafu hataki mpaka umfuate na gari au akodi tax.

Mimi nilikua na msichana alipoingia tu Mzumbe alinimwaga kwa dharau, Mungu hamtupi mja wake nilipata mawe nikafungua kampuni, msichana alipomaliza hana kazi yupo Dar kapauka akaanza kunitafuta ikabidi niaplod uloloo.

Tukaingia faragha tatizo akawa anataka mambo makubwa tukiwa faragha anataka mapenzi ya kisharo wakati mimi nishazoea kuruka ruka nilimshangaa sana si huyo tu, yaani dada zangu wakishaingia chuo wanajiona next level sana wanauzi sana.
kwa hiyo ukala mzigo naunapiga chini si ndio ehh...hahaa
 
Siku hizi nishazeeka hii miaka yangu 25 msingi sana....kipindi kule bado damu yangu inachemka......nikipataga kaduu kamoja hivi....yaani kale kalinichuna kweli kweli nahisi hata kamati kalikua kanatumia.maana sio hali ya kawaida .
Hivi mkuu haunaga ngoma kweli.maana pale kasulu.mademu wote umemaliza hasa wale watoto Wa secondary.,,Vipi yule mama alitakaga kukufunga vipi kesi iliendeleaje???baada ya kumuharibia mtoto wake yule Wa form two.
 
Nikiona binadamu wa jinsia ya kiume ana count alivyompa msichana wake mara nilimfanyia hivi mara vile huwa namuogopa sana, wako wapi wanaume siku hizi? am glad I lived in better days.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom