Kwanini wasichana wakifika chuo wanajiona next level sana?

Kwanini wasichana wakifika chuo wanajiona next level sana?

Hawa wanapoteza muda. Demu akikuzidi Elimu achana naye amekuzidi. Tafuta unayemzidi Elimu la sivyo maishani utanyanyasika. Lazima sisi tusio Na digrii tukubali kuwa wamatuzidi wenzetu. Mengine tunajikonsolu bure
Acha kuonyesha udhaifu mkuu
 
Nikiona binadamu wa jinsia ya kiume ana count alivyompa msichana wake mara nilimfanyia hivi mara vile huwa namuogopa sana, wako wapi wanaume siku hizi? am glad I lived in better days.
Usijali tunajikonsolu tu. Na nyie acha kudate Na sie mnaotuzidi Elimu maana yote KWA yote tutawaaibisha
 
Usijali tunajikonsolu tu. Na nyie acha kudate Na sie mnaotuzidi Elimu maana yote KWA yote tutawaaibisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daa umetupa jiwe kwenye Giza mkuu wanajifanya Wana elimu alafu Wana njaa
 
Wengi wetu wanaume kwa wanawake tumepita tu madarasani lakini KUELIMIKA imekuwa tatizo jambo linalotufanya tushindwe kung'amua MAISHA yanahitaji nini?
 
Naogopa hata kuimagine aisee .. Inauma sana
You are a very intelligent lady calculate your move. Better stay single without getting married to a lower class man like me. Sorry sijui Kama umeolewa au ni msela Kama mimi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daa umetupa jiwe kwenye Giza mkuu wanajifanya Wana elimu alafu Wana njaa
Lazima tuwafunze lazima Mwanaume awe Na value added KWA mwanamke. Mimi nimeishia darasa la Saba ni kosa KWA mwanamke Aliyemaliza form four au zaidi kunikubali
 
You are a very intelligent lady calculate your move. Better stay single without getting married to a lower class man like me. Sorry sijui Kama umeolewa au ni msela Kama mimi
Siwezi kukubali lower class men kwa kwel
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom