Wakiwa chuo wana waza tuu ukitoka chuo fasta una chukua kaziiii una anzaaa na milioni kwenda juu ,baada ya kufika mtaani Buku 50 Kwa mwezi Ana itafuta Kwa tochiiihaaaaaaaa mzee umegusa kiukweli yule dem amekaa miaka minne hana kaz juz ananipiga mziga anataka kupanga nimchangie yaan anakujaga namla afu nishamdharau sana maana daa kipindi anaingia mzumbe alinidharau sana
. aisee maisha bhana laaaaaa
Mademu wa desgn hizo wanakua nwa chapa ilalee tuNimefuatilia sana msichana akishaingi chuo tu wanajiona matawi sana yani wananata sana ukitaka tu kumtongoza ni shida, appointment zake ni viwanja vikubwa kubwa alafu hataki mpaka umfuate na gari au akodi tax.
Mimi nilikua na msichana alipoingia tu Mzumbe alinimwaga kwa dharau, Mungu hamtupi mja wake nilipata mawe nikafungua kampuni, msichana alipomaliza hana kazi yupo Dar kapauka akaanza kunitafuta ikabidi niaplod uloloo.
Tukaingia faragha tatizo akawa anataka mambo makubwa tukiwa faragha anataka mapenzi ya kisharo wakati mimi nishazoea kuruka ruka nilimshangaa sana si huyo tu, yaani dada zangu wakishaingia chuo wanajiona next level sana wanauzi sana.
English yenyewe hii hii broken au?wengi wao wakishajua ze ze yes am sorry basi tabu tupu.kwa sababu wana vyeti na english nyingi
hahahahaaaaaaaa mbavu zangu miee...hivi huyu ndo yule jamaa aloleta thread ya NILIMUINGILIA KINYUME JE ANAFAA KUOLEWAFIRAUNI? NINGEWAZAJE BILA WEWE KUYALETA AU UNAZANI YAMESHASAHAULIKA?
Kwa sababu wameingia next level, uelewe hilo tu.Nimefuatilia sana msichana akishaingi chuo tu wanajiona matawi sana yani wananata sana ukitaka tu kumtongoza ni shida, appointment zake ni viwanja vikubwa kubwa alafu hataki mpaka umfuate na gari au akodi tax.
Mimi nilikua na msichana alipoingia tu Mzumbe alinimwaga kwa dharau, Mungu hamtupi mja wake nilipata mawe nikafungua kampuni, msichana alipomaliza hana kazi yupo Dar kapauka akaanza kunitafuta ikabidi niaplod uloloo.
Tukaingia faragha tatizo akawa anataka mambo makubwa tukiwa faragha anataka mapenzi ya kisharo wakati mimi nishazoea kuruka ruka nilimshangaa sana si huyo tu, yaani dada zangu wakishaingia chuo wanajiona next level sana wanauzi sana.
Hapa umenena kwann wanafunzi wengi wanasema wanatokea Dar wakati Dar kwa mjomba.Kwasababu chuo kila msichana anatokea Dar!
Hiyo hiyo brokenEnglish yenyewe hii hii broken au?wengi wao wakishajua ze ze yes am sorry basi tabu tupu.