Kwanini wasichana wakifika chuo wanajiona next level sana?

labda awe mhanga wa chip's yai kimoja chili ila kama ni wa dona mchubuko lazima
Ha ha ha ha ha ha ha alafu cha ajabu wazungu wakishatoka tu....unaanza kujiona Wa ajabu kwa gharama ulizotumia aiseeeeee...labda ukute ligi ni nzuri kidogo upunguza mawazo ya mpunga uliotumiaaa
 
iyo ndiyo shida kale kamchezo bhana mbwembe za gharama ila ukishusha wareno basi
 
inakaa unapenda lelewa mkuu
Si unajua hivi vitu ni kusaidiana mfano uko porini,,,mtoto anakutumia hata vocha ya elfu kumi....sio kila siku wewe unakuwa na demu hajawahi kutumia hata spray ya .....elfu kumi tano ye kazoea ya buku tatu tu.....mtoto hajui hata mafuta ya korlie....ooohoooooo
 
iyo ndiyo shida kale kamchezo bhana mbwembe za gharama ila ukishusha wareno basi
Wakati mwingine nikikuta kitu kibovu.....kama naogelea vile najuta sana hadi na mkumbukaga Mwajuma wangu Wa miti mrefu.
 
siku hizi hakuna za kubana mkuu lami inapitisha sana mzigo mzito unapita raffroad
 
manSniper bado tu hutaki kutulia? Mbeya unaenda lini kumjulia hali mama watoto uliyemharibu rear zake? Au ndio unamalizana na mtoto wa mzumbe? Usimle ndogo tu mtoto wa watu kisa hana kazi.
 
hapana mkuu sisi ni wa kawaida sana
Siku hizi nishazeeka hii miaka yangu 25 msingi sana....kipindi kule bado damu yangu inachemka......nikipataga kaduu kamoja hivi....yaani kale kalinichuna kweli kweli nahisi hata kamati kalikua kanatumia.....maana sio hali ya kawaida .
 
ha ha hahaha pole sana aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom