Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Hahaha wivu tu, kwendraaa zakoHahah + simba = ngumu sana
Hahaha wivu tu, kwendraaa zakoHahah + simba = ngumu sana
Hahaha poleee kumbe umeumia kidogo...bahati mbaya tuHahaha wivu tu, kwendraaa zako
Ndie yeye mkuu aliyeleta huo uzi......sa hivi naona antenna kaihamishia MZUMBE,...mmh JF!hahahahaaaaaaaa mbavu zangu miee...hivi huyu ndo yule jamaa aloleta thread ya NILIMUINGILIA KINYUME JE ANAFAA KUOLEWA
Hahahaha, umenikumbusha mmarangukwa mwanamke? ndiyo maana nilishaapa dada zangu wa kichaga sitaki ata huyu dem ni mmarangu
Huku tuko kwenye mada nyingine usichanganye mambo.FIRAUNI? NINGEWAZAJE BILA WEWE KUYALETA AU UNAZANI YAMESHASAHAULIKA?
Aaa dada Chagga bhana sio English nyingii. Ila KiswaNglish kingiiii basi kinavyo ni bowa we acha tu.kwa sababu wana vyeti na english nyingi
Anamtafuta Shigongo kwa njama ili apate kazi kwenye magazeti ya udakuNdie yeye mkuu aliyeleta huo uzi......sa hivi naona antenna kaihamishia MZUMBE,...mmh JF!
Waiter mpe Tusker nne ntalipa, umeongea vizur sana mkuu.Binadam wengine uwaga mi nashindwa kuwaelewa! Wa hivo wapo wengi tu, ila nahisi kwenu sababu wanaume wana hela za kuchezea ndo maana hao nao wanajiproud.Wa hivo, unahangaika na wa nini? Huyo hafai kuwa mke wala hawala! Unataka tu misifa kuwa una demu mkali! Huyo si bora changu anayejiuza! Unapata unachotaka hata number ya simu hutoi na unaendelea na shughuli zako! Huyo utalipa tax, kula kunywa bill yake, usafiri kurudi juu yako, unaondoka laki imekutoka na unachofukuzia ni papuchi tuuuu! Huu si ni wehu! Bora huyo muache ale jeuri yake. Umenikumbusha kweli. Kwetu walikuwepo wa hivo siku za nyuma, sasa karibia wote chuo wamesoma, ujuzi zero, sasa wao ndo wanawahonga wanaume hata kwa kugegedwa tu! We ngoja itokee muingie East African Community kila mtu aanze kuona hali inakuwa ngumu, akipata 200 zake anasepa utawaona hao hao wanakutafuta wenyewe.
Watoto Wa chuo wepesi sana kama una hela...ila kama we huna mkwanja...utawasikia kwenye bomba.kwa sababu wana vyeti na english nyingi
Hivi kwani siku hizi vyuo vikuu ni dili kwani....chuo chenyewe ety....UDOM sijui UDSM aiseeeeee....Ushamba ndo sababu kuu japo ipo sababu nyingine ya kipuuzi kwamba wanafikiri wapo tofauti sana na wenzao ambao hawakubahatika kufika hapo.
Kabisaaaaaa alafu hata keu zao mbovuuuuila mapenz hawajui mkuu