Kwanini wanyama hawali matunda?

Kwanini wanyama hawali matunda?

Hao mbwa sijui paka n.k ni carnivores ambao diet yao ni nyama. Mfumo wao wa umengenyaji chakula ni tofauti na wa herbivores na omnivores.

Utumbo wao mdogo sio mrefu kama wa hao wengine hivyo absorption ya nutrients inatakiwa kuwa ya haraka na vyakula kama matunda na mboga mboga vinachukua muda mrefu kuwa digested hivyo haviwafai.

Ingawa wanaweza kula baadhi ya vegetables ila ni adaptation tu ya mazingira husika kutokana na sababu mbalimbali kama scarcity ya chakula (nyama).
Matunda na mboga VInachukua Muda mrefu kuwa digested? Ulisoma shule ya kata nini?
 
Hao mbwa sijui paka n.k ni carnivores ambao diet yao ni nyama. Mfumo wao wa umengenyaji chakula ni tofauti na wa herbivores na omnivores.

Utumbo wao mdogo sio mrefu kama wa hao wengine hivyo absorption ya nutrients inatakiwa kuwa ya haraka na vyakula kama matunda na mboga mboga vinachukua muda mrefu kuwa digested hivyo haviwafai.

Ingawa wanaweza kula baadhi ya vegetables ila ni adaptation tu ya mazingira husika kutokana na sababu mbalimbali kama scarcity ya chakula (nyama).
Kwahiyo nutrients za matunda na mboga mboga haziwafai?
 
Acha uongo,
Mimi paka wangu anakula Papai, Maganda ya nyanya, maboga vingine sijajaribu

Paka wangu wa pili nimejaribu kumpa hivyo kashindwa kula ila nashaangaa anakula kunde za kupikwa wakati mwenzie hali.
Matunda yanaliwa sana tu wanyama, ngedere anakula hadi ubuyu na mabungo

Una umri gani kijana mpaka usishuhudie mambo rahisi kama haya?
Na kuna baadhi ya matunda kama parachichi yanaliwa na mbwa na paka bila shida
 
Fisi huwa anapenda matikiti sana
Umemsahau Master of all trades. Mbuzi katoliki anakula kila kitu kama wachina mpka mbao na matofali ya kuchoma, mkaa etc
 
Nina swali japo sio la msingi sana kwanini Kama matunda ni muhimu kwa afya kwanini Sasa wanyama Wengi tunaowafuga hawapewi au hawali matunda kwa mfano wakina mbwa ukiwapa ndizi au machungwa hawali?
Sababu mojawapo nafkiri ni "food - feed competition" vyakula vinavyoliwa na binadamu ni garama sana kuwalisha wanyama, hasa production animals

Mfano huwezi knunua ndizi tatu 500/- halaf ukampatia mbuzi, japo ukimpa anakula.

Hawa wanyama pia kuna vyakula vyao (vya hadhi yao) ambavyo wanapata virutubisho vyote wanavyohitaji, na vingine wame evolve mfumo wa kujitengenezea wenyewe, kwa namna ambayo sisi binadam hatuwezi. Mfano ngombe anaezakula majani mwaka mzima, na ktoka kwenye hayo majani akajitengengenezea virutubisho vingine pia.
Ila wewe jaribu kula mboga za majani pekeyake mwezi mmoja tu uone.


Kuna theory moja inadai kwamba apertite ya kula chakula fulani inatokana na uhitaji/upungufu wa mwili juu ya kirutubisho fulani kilicho kwenye hicho chakula.

Kwahio kama mbwa hali machungwa maanayake yeye ananamna yake ya kupata virutubisho ambavyo wewe mpenda machungwa anategemea kuvipata kwenye machungwa.
 
Hao mbwa sijui paka n.k ni carnivores ambao diet yao ni nyama. Mfumo wao wa umengenyaji chakula ni tofauti na wa herbivores na omnivores.

Utumbo wao mdogo sio mrefu kama wa hao wengine hivyo absorption ya nutrients inatakiwa kuwa ya haraka na vyakula kama matunda na mboga mboga vinachukua muda mrefu kuwa digested hivyo haviwafai.

Ingawa wanaweza kula baadhi ya vegetables ila ni adaptation tu ya mazingira husika kutokana na sababu mbalimbali kama scarcity ya chakula (nyama).
Hawa kina Mbwa na kina Paka hamna namna wanawezakudigest mbogamboga, ila tu wanaweza kuextract vitu vichache sana kama vile vitamins.

Nafikiri labda kwasababu hizo mbogamboga na matunda hua zinaongeza motility of GIT ( chakula kinatembea haraka kwenye utumbo), ndio maana hao carnivires wanaepuka kula hivyo vyakula kwa wingi kwa sababu vitapunguza ufanisi wa kufyonza chakula (efficiency of absorption), lengo libaki kupunguza GIT mortility, sababu utumbo ni mfupi ili absorption iwe maximum,
 
Wanyama wengi sana wana uwezo wa kutengeneza vitamins ndani ya miili yao bila kutegemea matunda au mbogamboga. Hata binadamu pia ana uwezo wa kutengeneza Vitamin D kwa kuota tu jua
 
.
Akina mbwa? Wewe ulikimbia shule aisee!Kwani hujui kuwa kuna wanyama wameumbwa kwa ajili ya kula nyama tu na hata midomo yao na mpangilio wao wa meno upo hivyo na wengine kwa ajili ya kula majani tu?.Swali lako ni sawa na mtu aulize kuwa kwa nini Ng'ombe hali nyama!
Bado hujajibu swali lake mkuu. Jenga hoja kama alivyouliza swali lake mleta mada.

Ameuliza kwann wanyama hawali matunda? Kama nutirents za matunda Ni muhimu ktk mwili hao wanyama wanazitoa wapi hizo nutrients?

Au pia waweza geuza swali hilo hilo likawa hivi. Wanyama wasiokula nyama wanapataje nutrients muhimu za kwenye nyama??
 
Ndio wanyama Wengi me naona matunda hawali kama nyau SI hali nanasi Wala papai na mbona anahitaji nutrients zote
Usichokijua ni kama usiku wa giza.
Mbwa anakula matunda haya.
1. Matango.
2. Tikitimaji
3.papai
4. Mapera
5. Fenesi

Mbwa hali matunda yote ambayo yanauchachu na akila hataweza kung'ata chochote maisha yake yote.

1. Mchungwa
2.limao
3. Ukwaju
4. Nanasi
5. Etc

Usije ukakosea ukampa mbwa uji wenye ukwaju hapo utakuwa hauna mbwa kuanzia siku hiyo hatakuwa na uwezo wa kung'ata chochote.

Speaking from experience
 
Akina mbwa? Wewe ulikimbia shule aisee!Kwani hujui kuwa kuna wanyama wameumbwa kwa ajili ya kula nyama tu na hata midomo yao na mpangilio wao wa meno upo hivyo na wengine kwa ajili ya kula majani tu?.Swali lako ni sawa na mtu aulize kuwa kwa nini Ng'ombe hali nyama!
Ng'ombe wanakula nyama ila ni ya binadamu .
Speaking from experience
 
Back
Top Bottom