Kwanini wanyama hawali matunda?

Unlike humans, dogs do produce their own vitamin C with the help of their liver—but in some cases an additional supplement can have multiple health benefits. Proponents suggest that while a vitamin C supplement typically isn't necessary for healthy dogs, they can benefit canines who are sick or stressed.


Watengeneza Vyakula vya Mifugo wanaweka balanced diet yote kwenye mchanganyiko wa chakula..., (Ila swali lako kwa ufupi wanyama tofauti digestion system zao zinatofautiana hivyo uwezo wa kina mbuzi na ngombe kupata virutubisho kwenye majani ni tofauti na wewe kuvipata kwenye keki na chocolate) Au Mbu kuvipata kwenye Damu.... Ushajiuliza kwanini sisi hatuli nyasi (sio mboga mboga) nyasi kama Ng'ombe
 
Hapana nawapa msosi spesho kabisa. Na mara mojamoja naenda kununua dukani nyamamifupa... sasa hili kite linaacha kutafuna mifupa na wenzie linakimbilia papai. Nataka niliue lisije likaanza tabia za kishoga...

Afu nililinua kwa hela ndefu sana keimamae... bora nibaki na hivi vimbwa mwitu vyangu...
Kite kya warumu
 
Nina swali japo sio la msingi Sana kwanini Kama matunda Ni muhimu kwa afya kwanini Sasa wanyama Wengi tunaowafuga hawapewi au hawali matunda kwa mfano wakina mbwa ukiwapa ndizi au machungwa hawali?
Ukinipa jibu la kwanini wanyama hawaongei, mf. Wakina mbwa wanabweka, nami ntakuambia kwanini hawali matunda!
 
Itakuwa wewe ni mdogo Sana kuna wanyama wala nyama wanaitwa carnivore, pia kuna wanyama wala majani herbivores, pia kuna wanyama wala kila kitu obdivore ingawa kwa wanyama wa kufugwa Kama mbwa na paka inategemea na ulivomzoesha akiwa mdogo pia Hawa wanyama wanatofautiana mfumo wa mmeng'enyo
 
Itakuwa wewe ni mdogo Sana kuna wanyama wala nyama wanaitwa carnivore, pia kuna wanyama wala majani herbivores, pia kuna wanyama wala kila kitu obdivore ingawa kwa wanyama wa kufugwa Kama mbwa na paka inategemea na ulivomzoesha akiwa mdogo pia Hawa wanyama wanatofautiana mfumo wa mmeng'enyo
Hao obdivore mbona siwajui. Omnivores ndio wanyama wanaokula both plants and meat mfano binadamu, mbwa, nyani. Ndio maana unaweza mkuta mbwa anakula majani
 
Hao mbwa sijui paka n.k ni carnivores ambao diet yao ni nyama. Mfumo wao wa umengenyaji chakula ni tofauti na wa herbivores na omnivores.

Utumbo wao mdogo sio mrefu kama wa hao wengine hivyo absorption ya nutrients inatakiwa kuwa ya haraka na vyakula kama matunda na mboga mboga vinachukua muda mrefu kuwa digested hivyo haviwafai.

Ingawa wanaweza kula baadhi ya vegetables ila ni adaptation tu ya mazingira husika kutokana na sababu mbalimbali kama scarcity ya chakula (nyama).
Asante Sana,umejibu kisomi
 
Back
Top Bottom