Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 23,517
- 70,331
Hao mbwa sijui paka n.k ni carnivores ambao diet yao ni nyama. Mfumo wao wa umengenyaji chakula ni tofauti na wa herbivores na omnivores.
Utumbo wao mdogo sio mrefu kama wa hao wengine hivyo absorption ya nutrients inatakiwa kuwa ya haraka na vyakula kama matunda na mboga mboga vinachukua muda mrefu kuwa digested hivyo haviwafai.
Ingawa wanaweza kula baadhi ya vegetables ila ni adaptation tu ya mazingira husika kutokana na sababu mbalimbali kama scarcity ya chakula (nyama).