Magoya2000
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 641
- 1,266
- Thread starter
- #121
Kwa hiyo Kuna tako rahini na tako gumu. Kwa hiyo wenye tako rahini watoboa?Fanya upya risechi yako. Unalijua TAKO LAINI wewe?! Nasema karudie utafiti wako umekwenda OP mno!.
Kwa hiyo Kuna tako rahini na tako gumu. Kwa hiyo wenye tako rahini watoboa?Fanya upya risechi yako. Unalijua TAKO LAINI wewe?! Nasema karudie utafiti wako umekwenda OP mno!.
Mkuu unasisitiza sana matako laini. Tupe Siri ulichogunduaTakooo! Narudia, takooo!. Tako laini
Nadhani , mtu anabidi kuamini katika process (mchakato) na kuwa Authentic na kujua kuwa Maisha ni consistent na sio Mambo ya kuamini Kupewa vitu vidogo Kama sim , shopping, Kodi and etc je kupitia makalio mtu ataweza kuendesha Maisha take kwa miaka mingapi?Well said!
Ni ule ujinga wa kuaminishwa ukiwa na ma-tako hakuna mwanamme ataacha kukutaka,so unakuta MTU anabweteka anamjua akitaka Pesa yeyote atapata,matokeo yake anaishiwa kupewa Pesa ya shopping,simu,na kula no other progress
All in all haina guarantee kuwa flat ndio kutoboa na kuwa na zigo ndio kufail japo asilimia kubwa Mambo ndio yanakua hivyo.
Makalio makubwa etc hayana msaada wowote kama hujitambui. Ni short lived. Kuna kipindi kinafiki hata umuhimu wake huuoni. Kama mwanamke hajitambui ataishia kudanga na kuna umri ukifika unaishia kujilaumu. Nina mifano mingi tu wa wanawake wenye makarios ya haja, 2 wamepangiwa hapa jirani kwenye apartment na waume za watu, mmoja kodi inasuasua danga sijui limemkimbia. Wengine 2 wameolewa na watu wamawazidi 30 years. Hawana furaha kutwa kugombana maana hawakupenda hao wazee.Nadhani , mtu anabidi kuamini katika process (mchakato) na kuwa Authentic na kujua kuwa Maisha ni consistent na sio Mambo ya kuamini Kupewa vitu vidogo Kama sim , shopping, Kodi and etc je kupitia makalio mtu ataweza kuendesha Maisha take kwa miaka mingapi?
Wanawake wa Bongo wanaishi Katika illusion
Pia Mwanaume mwenye upendo na Focus na kujua nafasi ya Mwanamke hawezi kuchagua mke ambaye mwisho anaenda kuwa Mama watoto wake kwa kigezo Cha Makalio tu.
Then hizi propaganda kuwa wanaume wanapenda makalio zinaenezwa na watu wengi na wengi wa hao ndo bado hawako well financially stable , pretenders , dramatically n.k
Tuupe Wakati nafasi yake. Huwezi kuishi kwa kutegemea makalio yakupe Maisha na ukaweza is impossible Nina ushahidi na hili Jambo.
Uolee Wanaume wenzio? A.k.a cha woteSame reason kwa nini pisi kali haziolewi.
Na wengine wanaoneza hizo propaganda ukiowaona wake zao waliowaoa utastaajabu kabisa!Nadhani , mtu anabidi kuamini katika process (mchakato) na kuwa Authentic na kujua kuwa Maisha ni consistent na sio Mambo ya kuamini Kupewa vitu vidogo Kama sim , shopping, Kodi and etc je kupitia makalio mtu ataweza kuendesha Maisha take kwa miaka mingapi?
Wanawake wa Bongo wanaishi Katika illusion
Pia Mwanaume mwenye upendo na Focus na kujua nafasi ya Mwanamke hawezi kuchagua mke ambaye mwisho anaenda kuwa Mama watoto wake kwa kigezo Cha Makalio tu.
Then hizi propaganda kuwa wanaume wanapenda makalio zinaenezwa na watu wengi na wengi wa hao ndo bado hawako well financially stable , pretenders , dramatically n.k
Tuupe Wakati nafasi yake. Huwezi kuishi kwa kutegemea makalio yakupe Maisha na ukaweza is impossible Nina ushahidi na hili Jambo.
Kuna Miamba geu inapiga pisi Kali tuu ila ukiona wake zao sasa...Na
Na wengine wanaoneza hizo propaganda ukiowaona wake zao waliowaoa utastaajabu kabisa!
Nafikiri wanawake nao wajitambue waache illusion Kama ulivyosema
Kuna namna pisi zinahitaji kujitambuaKuna Miamba geu inapiga pisi Kali tuu ila ukiona wake zao sasa...
Wakawaida wametulia wanatunza watoto vyema kabisa.
Maisha hayaitaji uwe serious hakikisha unatafuta pesa unaenjoy stress, seriousness tupa kule
KabisaaItakua tu juu kwa baba mkuu
[emoji3][emoji3]wanawake wenye mizigo waatoboa mno kimaisha, Tatizo lako ni kuwa unataka kuliganisha na mazingira anayoishi. Sio rahisi mtoto uanaekulia Buza hata kama ana Tako halafu ukamkuta na Range, Kila mtu atatoboa kulingana na mazingira yake.
Kiuswahilini wanawake wenye mizigo wanaongoza kula chips bure kwenye mabanda ya chips.
Ningalikuwa sikufahamu ningalisadiki ulilosema hapa.
Acha wivu bhana. We sema tu huna takoTusifanye hivi si sawa, ndiyo maana tubinti twa sasa akiwa na hayo makalio sijui malaini. Anaona ni kitega uchumi. Jamii tunakosea, kama wana hayo ibaki ni mvuto kimuonekano.
Kiuchumi wafundishwe kutafuta wenyewe, si kupewa sababu ya kitu mwilini mwake. Hata wewe hutopenda dada yako, ama binti yako atumiwe mwili ili awe na maisha mazuri.