Kwanini Wanawake wenye Mizigo hawatoboi?

Habari za Sikukuu! Niende kwenye maada, katika pita pita zangu nimegundua wanaume wengi wanapenda Wadada wenye Mizigo.

Tena wkt mwingine hata wakipita barabarani wanyabi wanashusha vioo Ili kuangalia Kwa uzuri.

Sasa najiuliza Kwa Nini mizigo Yako haiwafanyi watoboe kimaisha maana wengi mwishowe wanaangukia kuwa wauza Samaki na kuwa chakula Cha wavuvi.
Akili zao zote zipo huko.
 
Huu uzi bila ya picha ni umbea Kama umbea mwingine tu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wanaowaangalia pesa wanazo? Yawezekana wenye hela hawaangalii hiyo mizigo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom