Magoya2000
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 641
- 1,265
- Thread starter
- #21
Hapo ndo utajua wanaume wanaangalia vingi nje ya pisi Kali na mzigoSame reason kwa nini pisi kali haziolewi.
Hapo ndo utajua wanaume wanaangalia vingi nje ya pisi Kali na mzigoSame reason kwa nini pisi kali haziolewi.
Kumbe una mzigoIpo siku yetu, tutatoboa.....
Hahahah! Mizigo inatuchanganya sana. kwa Nini hatuishi nayoHaya maisha ni mchaka mchaka, na huwezi kimbia ukiwa na mzigo. Pengine inawazidia uzito.
Kwa wewe kipofu? Mizigo ipo sanaHuo mzigo wenyewe uko wapi?
mzigo upo au ndio kama Unakwepa teke ?👰♂️
Leo hoja tujadili. Kwenye akili wamenielewa.75% ya wanawake wenye Mikia kwa Bongo wametoboa Kimaisha.Wewe unaongelea wa Nchi gani?
Mbona hata sisi flat screen hatujatoboa, nadhani mizigo or flat screen siyo chanzo cha mapato
Leta hoja Kama wenye Mizigo wametoboa tujadili.Una ushahidi?? au ndo mna-generalize kama mnavosema kila single maza ana ukimwi....
Mimi napenda sana flat. Flat wananoga sana. Wazungu hawana mbambambaMbona hata sisi flat screen hatujatoboa, nadhani mizigo or flat screen siyo chanzo cha mapato
Mimi kipofu ila naona mbali kifikraKwa wewe kipofu? Mizigo ipo sana
Weka mzigo👰♂️
Niachiani flat wote waje kwangu. Tupo tunaowathaminiFlat screen tunachangia uzi au sisi wakwetu bado?
lazima kuna ambao wametoboa na lazima kuna ambao hawajatoboa.... sasa huwezi kujua idadi kamiliLeta hoja Kama wenye Mizigo wametoboa tujadili.
Wa maana mamaaaeeehhhKumbe una mzigo
Sio tu wa nguvu.....Kwani na wewe una mzigo wa nguvu?