Kivumah
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,427
- 1,061
- Thread starter
- #21
...kusema Wanawake walevi nadhani si sahihi, kwa sababu si kila anaekunywa Savanna ni Mlevi. Ukisoma baadhi ya response za posts humu utaona kumbe huwa wanakunywa hiko kinywaji kwa lengo tu la kupima pochi/wallet ya anaemnunulia. kumbe ni tofauti na mawazo yangu mie nilidhani kuna kitu/kirutubisho wanapata from hiko kinywaji kumbe hapana bwana.Mimi mbona sikijui hicho? kama ni ulevi, ungesema "wanawake walevi" na usingejumuisha kusema wanawake wengi.
By the way, speakin of Ulevi, wako wewe ni upi