Kwanini Wanawake wengi wanapenda kunywa kinywaji hiki

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
..Wadau Naombeni mnijuze hiki Kinywaji Savanna Dry kwanini kinapendwa sana na akina Dada,
Ukienda Bar/Grocery hukosi kukuta Mwanadada anakunywa hii kitu. Kuna nini ndani yake kwa Wadada
 
nadhani ni prestigious brand tu, ni kama mtu aiyekunywa pombe anavyong'ang'aniwa anywe bavaria over soda . nina rafiki mmama, yaani anaangalia mahali alipo. kuanzia heinneken, na savannah though she pays her bills. ila mkiwa uchafuni anagonga hadi safari. watu wa marketing wanajua sana kucheza na minds za wateja,manake inakuwaje wanaume hawaipendi?
haya,ngoja tuwangoje mashabiki waje
 
Mimi mbona sikijui hicho? kama ni ulevi, ungesema "wanawake walevi" na usingejumuisha kusema wanawake wengi.

FF kwa nini sio wanawake wapiga 'kilauri?'
au wapiga kilauri wote ni walevi?
 
haileweshi hii.wanawake wanaopenda savanna ni wale wanaonunuliwa sanasana.anatumia kama kigezo cha kukuchuna.dawa yao konyagi mzinga.mia
 
Mimi mbona sikijui hicho? kama ni ulevi, ungesema "wanawake walevi" na usingejumuisha kusema wanawake wengi.

Labda wanawake wengi wa ulimwengu wake......hujambo lakini switi?

image26-sdpc-bottle2.jpg
 
Mtu akinitoa out sinywi tena maji naagiza ito desert dry sijui
 
sio suala la kuwa 'harsh' wala, ila huwa kuna dhana ya unywaji na ulevi. hivi zina tofauti?

Mnywaji maji ya kunywa au chai au kahawa au juice? hao ni wengi sana na mimi ni mmoja wao. Na wanywaji kilevi ni walevi na wao pia wapo na ni wengi sana. Kuwa mlevi ni kwa yoyote atumiae kilevi ama kwa uchache wake ama kwa wingi wake, kinyume cha hapo ni kujidanganya nafsi.
 
  • Thanks
Reactions: bht

Lol..I like your witticism.
 
No wonder "beer belly" is an epidemic among many women mtaani siku hizi
 
Back
Top Bottom