Kwanini Wanawake wengi wanapenda kunywa kinywaji hiki
Kwanini Wanawake wengi wanapenda kunywa kinywaji hiki
utumwa umepata maana mpya ? Watu kujiamulia bila shuruti , inaonyesha wewe bahili kwa hiyo ukiclear bill kiroho kinakung'ata , wanaume wa kweli hujisikia raha baada ya kazi ngumu hupata mvinyo kwenye meza iliyosheheni warembo
Post yako inaonesha na umri ulionao dhahiri shahili, usidhani wote tuliopo humu tupo kwenye level yako ya college/ teneeger
yote kwa yote matola bahili , utaishia kunywea kauta ukishare mazungumzo na muuzaji lol
Wanawake wanaipenda kwa sababu kuu mbili!
1:Ina radha ya Wine almost it is a wine.
2: Nibei rahisi ukilinganisha na bei ya wine.
3: Anaoneka ni msitaarabu fulani.
yote kwa yote matola bahili , utaishia kunywea kauta ukishare mazungumzo na muuzaji lol
Mimi sio bahili bali sina pesa ya matumizi hayo, familia yangu inahitaji matunzo zaidi kuliko hayo wewe unayoyaona ni muhimu, by the way mimi nimeshapita umri wa kutafuta ujiko kwa mabinti maana najitambuwa, kila jambo lina wakati wake na muda wake, subiri na wewe ukuwe uyaone.
Sisi ambao tunasomesha watoto wetu English medium shule zinafunguliwa next week, we pay a lot of money for school fees, halafu wewe unakuja na hadithi za kukaa bar na kundi la warembo? my foot!..........
matola nimekuelewa kumbe hauna ziada ya kutosha basi starehe hiyo waachie wenye nazo na jambo lililo nje ya uwezo usilitungie jina baya , pole wenzako wanasomesha shule za kimataifa na wanajipa raha wewe tu ...... Lol
...........Labda hujaelewa Argument yetu ni nini, hapa tunazungumzia share of cost, na sio uwe mwanamke kama briefcase, hata mwanamke wa kileo ana uwezo wa kumtoa out patner wake.
Wewe shida yako una dependent mind, wakati unatakiwa uwe independent ndio uheshimiwe.
matola usikimbie kivuli kaka mimi nilichosema ni raha kununuliwa na wanaume hujisikia raha kulipa sikusema silipagi kabisa huwezi kuwa unanunuliwa kila siku ndiyo maana nikasema nikipewa offer nafurahi si Jambo la kila siku ila wewe bahili bahiliiiii
hehehe, utakoma! si ushaona bi mkubwa katafsiri 'ulevi'? haya, ww ni mlevi ama mpiga kilauri,lol!
***** ***** muhimu,mfungo ushaisha,lol
Nilimmiss Bi Mkubwa ....lol! Kadadavua hasa....
Mimi mnywaji tu (kwa kuzingatia maelezo ya bi mkubwa)
matola usikimbie kivuli kaka mimi nilichosema ni raha kununuliwa na wanaume hujisikia raha kulipa sikusema silipagi kabisa huwezi kuwa unanunuliwa kila siku ndiyo maana nikasema nikipewa offer nafurahi si Jambo la kila siku ila wewe bahili bahiliiiii
Asante mama, nilikuwa sijui kama mimi ni bahili ila kama ni kweli bahili basi nashukuru kwangu ubahili ni sifa kubwa sana ya watu wenye mafanikio, huenda na mimi naelekea huko, nashukuru kwa utabiri wako mwema.
Wanawake wanaipenda kwa sababu kuu mbili!
1:Ina radha ya Wine almost it is a wine.
2: Nibei rahisi ukilinganisha na bei ya wine.
3: Anaoneka ni msitaarabu fulani.
Kakakiiza acha maskhara hii kinywaji sio bei raisi bana
hapa nilipo bottle inauzwa 3000 wakati tusker 1500
ukinywa tatu 9000 wakati mnywaji wa tusker 3- 4500
Ni kwamba wadada wanakipenda kiko soft na hakina hangover ...mie siipendi nikinywa moja tu inanilewesha ...
DA basi unakosa uhondo , bi dada hata uwe na bilioni kunako wallet lakini kununuliwa na mkaka raha , mm binafsi napenda sana ili mradi simuombi anitafute aniombe kunipa offer , hata wanaume baadhi waliwahi kunieleza hujisikia raha kutulipia bill hasa ukiwa mrembo lol
Stone age haijakutoka bibie pole wee! Unadaka umekuwa golikeeper wewe? Aibu gani hy?
Wanawake wanachokunywa akiwa na buzi na anachokunywa akiwa peke yake ni tofauti....
Ni kweli, nikiwa na kibuzi nakunywa Redds kwa kukionea huruma, lakini nikiwa mwenyewe nakunywa coctails na wines!
Wanawake wanaipenda kwa sababu kuu mbili!
1:Ina radha ya Wine almost it is a wine.
2: Nibei rahisi ukilinganisha na bei ya wine.
3: Anaoneka ni msitaarabu fulani.
Kwa kuongezea; haisababishi vitambi kama beer za ngano!
Utamu wake huwaattract wanaojifunza kunywa pombe!
Unaweza piga lunch time, na kurudi ofisini; haina harufu kama beer zingine (mdomo haunuki)
Ni kwamba wadada wanakipenda kiko soft na hakina hangover ...mie siipendi nikinywa moja tu inanilewesh...
Amelinganisha bei ya savannah na wine (sio beer)
da kwanza pole c unajua hata kukaribishwa c kwa wote ni wateule wachache kina siye teh sasa wewe ckushangai ukikaribishwa siku moja utafurahi otherwise Vipi umeshawahi kusifiwa umependeza? Au nayo old stone age ? Lol
Ila ukwel ina ladha nzuri, haina harufu kali na haleti kitambi. Ni sababu tosha zinazopelekea madada kuzipenda
Mnywaji maji ya kunywa au chai au kahawa au juice? hao ni wengi sana na mimi ni mmoja wao. Na wanywaji kilevi ni walevi na wao pia wapo na ni wengi sana. Kuwa mlevi ni kwa yoyote atumiae kilevi ama kwa uchache wake ama kwa wingi wake, kinyume cha hapo ni kujidanganya nafsi.
Nakushangaaa... Unashangazaaa... Wa wapi weweeee...
Ndo inaongoza kulipa kodi ya SIRIKALI ya ...
Kakakiiza acha maskhara hii kinywaji sio bei raisi bana
hapa nilipo bottle inauzwa 3000 wakati tusker 1500
ukinywa tatu 9000 wakati mnywaji wa tusker 3- 4500
Ni kwamba wadada wanakipenda kiko soft na hakina hangover ...mie siipendi nikinywa moja tu inanilewesha ...
ni kweli kinywaji hicho wala si bei rahisi ni ghali hasaa.
kuna wanawake wa makundi 3
1. wale wanaokunywa kinywaji hicho kwa pesa za mwingine hana uchungu nazo hivyo anakunywa kile kinywaji ambacho kwa pesa yake ni ngumu kukimudu
2. ni wale wanaopenda ujiko anywe kinywaji cha bei mbaya ili aonekane mbele za watu kuwa ni wa hadhi na thamani ya juu
3. ni wale ambao hicho ndio kinywaji ambacho ni choice yao, na wanakinywa wakiwa wamepewa ofa, na hata wakiwa peke yao kwa mifuko yao wanakunywa kwa kuwa wanakipenda, pawe na watu au wako peke yao wanakunywa ni kinywaji cha chaguo sio cha koushea sura na jina
Back
Top Bottom