Kwanini Wanawake wengi wanapenda kunywa kinywaji hiki

Inahamasisha mambo fulani na inasaidiakuja mfuko wa mzee (kama amakutoa),maana bei imesogea kidogo.
 
hhii sredi imenichekesha sana

inanipa mawazo kuwa kuna mapambano dhahir shahir ya kimtizamo kati ya:
  • wanywaji na walevi
  • wenye mtizamo wa kuwa kwa mwanamke mwenye staha, hawezi kuendekeza utegemezi kwa wanaume-inabidi kushare bill
  • wanawake wengine kuona kuwa ni haki kununuliwa, kama sio, mwanaume bahili
  • dhana ya uchunaji na uchunwaji...
tuendeleee
 
Back
Top Bottom