klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Khaaaaaaaa!

khaaa! Kwahyo kloro ana mimba? Ooh!
Khaaaaaaaa!

khaaa! Kwahyo kloro ana mimba? Ooh!
Kwa kanuni za kimaumbile za JF, hiyo inaitwa TUMBO Calling............You have been notified and warned accordingly!..........Ngoja niMP PAW. Alivyokuwa na mtambi mkubwa, lazima ulambwe BAN!

khaaa! Kwahyo kloro ana mimba? Ooh!
kwahiyo wewe unadai kuwa mmiliki wa Hus huku ukifahamu uwepo wa keren ?Point of korrekshen: mimi ni mmiliki sio mtuhumiwa! omba razi kabla Lawyer mmiliki sijakasirika

Masikini mie sred hii imeshanitoa matumaini ya kupendwa!! Na umbo hili la tembo mtoto?, byebye kupendwa!

Jamani kwa nini ongezeko la wanawake wenye vitambi limekuwa kubwa?

Idadi ya wanaume inapungua lakini ya wanawake inaongezeka!

Kitambi kwa mwanamke kinapunguza mvuto au hamlijui hilo nyie wanawake?
kumbe umeona mengi eh?? nilidhani bado mchanga
aiseeeee
kwahiyo wewe unadai kuwa mmiliki wa Hus huku ukifahamu uwepo wa keren ?
Jamani kwa nini ongezeko la wanawake wenye vitambi limekuwa kubwa?
Idadi ya wanaume inapungua lakini ya wanawake inaongezeka!
Kitambi kwa mwanamke kinapunguza mvuto au hamlijui hilo nyie wanawake?
mnawaonea bure wengine wamefanyiwa operation za uzazi matumbo lazima yashuke na siyo kitambi na ukizingatia mlo wa mama mzazi inakuwa kazi kudhibiti tumbo mi naona poa tu je kama umemuoa akabadilika baada ya operation utamuacha kuweni waungwana!!!
Jamani kwa nini ongezeko la wanawake wenye vitambi limekuwa kubwa?
Idadi ya wanaume inapungua lakini ya wanawake inaongezeka!
Kitambi kwa mwanamke kinapunguza mvuto au hamlijui hilo nyie wanawake?
Mhhhh!! ngoja nami nianze mazoezi.....mhhh!!! asante kwa kunikumbusha.
Mzima wewe Madame KH!?.... Madame KH hayo mazoezi labda yawe ya "kuimaintain" hiyo "figure" ya kufa mtu lol! 🙂 🙂 🙂 lakini kitambi nasikia ulikipiga marufuku miaka mingi kisikusogelee kabisa labda kama kimeanza kukunyemelea hizi wiki za karibuni 🙂
teh teh,jaman msiwachambe sana wamesikia watarekebisha life styles hasa mlokweli inapunguza mvuto vibaya.vitambi vyenyewe vinakua kama vya wahindi waliofilisika
BAK,
Kwanza nimefurahi kukuona. Sijui nani huyo alikuficha......)
Kuhusu kitambi....hahahahah.....ni muhimu ku-maintain, ili nisije kukosa mvuto...hahahahah.....🙂
Karibu sana BAK. Stay blessed.
BAK,
Kwanza nimefurahi kukuona. Sijui nani huyo alikuficha......)
Kuhusu kitambi....hahahahah.....ni muhimu ku-maintain, ili nisije kukosa mvuto...hahahahah.....🙂
Karibu sana BAK. Stay blessed.