Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,886
umeona eeh! Unawakuta wengine miguu myembamba kiuno kimekonda ila kitambi hicho.
Wenye vitambi msisome posts zangu.
kwenye mananihino mtu anakaa kama anabembea sijui ndio inaitwa seesaw (kama nimepatia).......ha ha ha....kitambi bana.....