Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Eti vitambi vinaharibu shepu, mara cjui vinapunguza mvuto loh! Wewe kama una mke au girlfriend inatosha , sasa huo mvuto kwa wanawake wengine unautaka wa nini? Wao nao si wana wapenzi wao, kama kitambi ni kero wataambizana wao wenyewe, wewe mwangalie wa kwako tu...... basi!!

Mbona umekuwa mkali hivo kipipi? Maada imekugusa nini, au nawewe ni muhanga wa vitambi? Jamaa kajalibu kutoa angalizo lake kwa dada zetu wenye vitambi, kama wewe huna kitambi basi toa ushauri kwa wenzako na sio kuwa mkari kama pilipili bila ushauri wowote, samahani ni maon yangu tu.

Kuzaa,fedha,madaraka siyo hoja..hebu tuwatazame Prof. Tibaijuka,mama Makinda,mama Obama na wamama wa vijijini(watoto 7-10) ..mbona hawa hawana hivyo viriba tumbo?..acheni kujiendekeza na hiyo mishepu 'zigo' ambayo imekuwa chanzo cha nyumba ndogo nyingi..kila siku mwanamke unavaa dila umekuwa imamu?
Mi siwaelewi kabisa we ulipomuoa alikuwa kigoli chuchu saa 3 umemzalisha watoto watatu tena wamefuatana nyumba iko kama kindertgatten muda ataupata wapi wa kujipendezesha unawaonea buree mbona we unajamba usiku halalamiki ni ungetaka abaki alivyo usingelimbandika bandua watoto ambao hata huwezi kuwahudumia acha anenepe maana hakuna muda wadiet na mazoezi!!

shemeji hwishi viroja!haya vitambi vya kurogwa ndo vikoje na warogwa upate kitambi ili iweje?!

Aaargh shemeji uswahilini hakutafwti sababu ya kulogwa, ukiweka CD ya dushelele kwa sauti tu watu wanakushusha kitambi, kuna sredi ipo hewani mida hii inasema kuna mdada kajifungua jiwe!

Aaargh shemeji uswahilini hakutafwti sababu ya kulogwa, ukiweka CD ya dushelele kwa sauti tu watu wanakushusha kitambi, kuna sredi ipo hewani mida hii inasema kuna mdada kajifungua jiwe!
duh aksante shem kwa kunijuza maana kama kuna vitu sivielewagi ni hii ya uchawi

Kuzaa,fedha,madaraka siyo hoja..hebu tuwatazame Prof. Tibaijuka,mama Makinda,mama Obama na wamama wa vijijini(watoto 7-10) ..mbona hawa hawana hivyo viriba tumbo?..acheni kujiendekeza na hiyo mishepu 'zigo' ambayo imekuwa chanzo cha nyumba ndogo nyingi..kila siku mwanamke unavaa dila umekuwa imamu?
Prof. Tibaijuka ni habari ingine kabisa mama ana-jog kila asubuhi sio mchezo na jioni anaenda gym.

Vitambi hata kwa wanaume navyo ni issue. Kwa hiyo hii thread inge focus pande zote. Na sisi hatutaki hivyo vitambi vyenu.

unazungumzia mambo ya gender in balance lazima utakuwa legal adviser

Unakuta mmama anakula noa kilo 2 peke yke anachanganya na ndzi rost 8 pamoja na bia 18 au malta kumi ukimchk jinsi alivokaa na anavyokula utadh kifurushi ukimwmbia punguza msos anasema anajirepea nilishuhudia mdada mwnye miaka 22 akila mikate 4 yaan amenenepa mpka masikio. Jaman wadada na wamama 2we na nidhamu ya kula.

sasa wewe unategemea nini binti napiga valuer na kiti moto kilo mbili na ndizi 6 pale B bar ..l;azima awe na litambi kama wassira

tatzo la wasichana au wanawake wa siku hz kuwa na vitambi ni kutokana walakula vyakula vyenye wanga na bila kufanya mazoez na hii ndo sababu ya hawa watoto wakike kuwa na vitambi wanapenda kula chips,mayai,kitimoto na mbaya kuliko vyote ni kunywa pombe na hyo ndo sababu ya watoto wa kike au wanawake kuwa na vitambi na mazoez hawafanyi ni hvyo

khaa.....kwanza kinanyonya maeneo mengine ya mwili....

umeona eeh! Unawakuta wengine miguu myembamba kiuno kimekonda ila kitambi hicho.
Wenye vitambi msisome posts zangu.

duh aksante shem kwa kunijuza maana kama kuna vitu sivielewagi ni hii ya uchawi
Inaonekana shem haujahusu sumbawanga hata thru mzee wa kambo? For further details muulize The Finest mchumbaake anatokea huko

hili lithrea lipelekwe jukwaa la maselebritiz maana nyie ndo namba moja.

aaaaooowww! (source: Marehemu maiko jakson)

Nilijua tangu zamani kwamba unanimaindi hawa wazembe wanaokuanzishia sredi unawazingua tu

Back
Top Bottom