Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Kila kitu wanawake tu!Nyie mshafanya mazoezi?au hamhitaji?

Ni kweli kila kitu wanawake, mbona nyie nnavyo, na sis hatupendi wanaume wenye vitambi, na nyinyi vinawapunguzia hu-hb fanyeni mazoezi.
 
sio ishu bwana. Ukiamua unaweza. Basi tu wanawake tunapenda kulakula, mazoezi hatufanyi na kazi ndogo ndogo tu zinatushinda. Tunataka kunenepa. Ukijitahidi unenepe **** au hips na kitambia nacho hicho. Lol!
na ukitaka kuondoa kitambi hips na ****** nayo yanasepa halooooooooooooooooooooo
 
huamini nini...sio kila mwanamke anapenda wowowo,napenda shepu nzuri sio kufungasha mizigo isiyo na tija

Mwanamke hutakiwi kulipenda wowowo, tukipenda sisi inatosha. Halafu nani kakwambia halina tija!
 
Wanawake weng wa kibongo wanamatumbo makubwa kama vitambi,ni kwa nini?
 
ngoja madaktari bado wako kwenye mgomo, wakimaliza watakuja kutupa jipu
 
Pombe hizo na kula kula tu.. Ka hapa kuna limama linapata tusker beer ukimcheki kiunoni ana matairi utadhani general tyre :biggrin1:
 
Kuna sababu nyingi..kula, kunywa bia, kwa sababu ya uzazi na kutofanya mazoezi.

Badala ya kuuliza kwa nini uliza ni jinsi gani ya kumsaidia mkeo/girl friend wako awe na shape nzuri. Na wanaume pia wengi wana vitambi ambavyo sisi wanawake hatuvipendi pia

Kuna zoezi moja ukilifanya utaona mabadiliko ndani ya wiki mbili na ukiyazoea uta enjoy kiasi unaweza kuwa addicted. Angalia hiyo link.

how to lose belly fat in 1 week - YouTube
 
Mbavu zangu... hiyo ni researchable topic. lol.

Tunavaa nguo kama za wadhungu na mashepu yanakuwa kama yao these days.


Kitambi ni matokeo ya skin tight. Mwili wa mwanamke unaruhusu mafuta yanayozidi mwilini kuwa stored kwenye makalio na mapaja. kwa sababu kila mwanamke sasa hivi anabana mapaja na makalio cells zinashindwa kupokea mafuta yanayozidi mwilini mafuta hayo yanajaa tumboni. ukiwaangalia wenye vitambi mapaja yamekuwa fimbo na makalio yamekuwa bapa lakini tumbo mbele. hayo ni madhara ya skin tight.
 
we mtu anakula chapati 3 na uji wa ulezi asubui...saa nne sambusa 4 namilkshake..mchana soseji 3 chipsi na mishkaki 6..jioni akitoka kazini ndo balaa ni kitimoto kilo moja na ndizi 4 anatiririshia na ndovu za baridi 6...halafu ndo arudi home unategea atakosa kitambi huyu....aghhh
 
  • Thanks
Reactions: ram
we mtu anakula chapati 3 na uji wa ulezi asubui...saa nne sambusa 4 namilkshake..mchana soseji 3 chipsi na mishkaki 6..jioni akitoka kazini ndo balaa ni kitimoto kilo moja na ndizi 4 anatiririshia na ndovu za baridi 6...halafu ndo arudi home unategea atakosa kitambi huyu....aghhh

Hahahaha! Hapo anagari lake, hata umbali wa mita mia anatumia gari au anapanda bajaji! Aibu tupu!
 
Jamani kwa nini ongezeko la wanawake wenye vitambi limekuwa kubwa?
Idadi ya wanaume inapungua lakini ya wanawake inaongezeka!
Kitambi kwa mwanamke kinapunguza mvuto au hamlijui hilo nyie wanawake?
Mimi nawafananisha na mbuyu. Stimu zote hunitoka, utaanzia wapi kuupanda?
 
Sometimes ni nature ya mtu tu kuna wengine hua wanakua na tumbo toka wadogo na wanakua na matumbo yao lol! Tena wanayazoea na kuona sawa tu..but honestly mwanamke kua na kitambi haipendezi hata kidogo cause mtu mwenye kitambi akivaa nguo hapendezi..solution ni kucontroll ulaji wako na mazoezi,poleni wahanga wa vitambi..
 
kuridhika tu kwani wanaume sababu ilikuwa nini?

sio kuridhika huko, kuridhika si lazima uote kitambi. hiyo ni kwa sababu ya kula hovyohovyo halafu kwa vile majukumu yenu ya nyumbani hamyatimizi mmewaachia mahouse girl na nyie kazi yenu ni kukaa tu kutwa nzima uko kwenye intaneti unachati.

Kitambi kwa mwanamke ni sumu sana na pengine hii hupelekea mshawasho wa mapenzi kupungua ndani ya nyumba
 
Back
Top Bottom