Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Ahsante sana Madame KH, Kuhusu kufichwa Mhhhhh! Naogopa "kuchema" hahahahah lol! Nashukuru nimerudi jamvini kuja kujifunza kutoka kwa wachangiaji mbali mbali na pia kujadili mambo mbali mbali yanayojiri ndani ya nchi yetu na duniani kwa ujumla. Endelea na mazoezi ya nguvu ili uendelee kukifukuza kitambi kisikusogelee kabisa maana ni kweli kinaharibu sana mvuto 🙂🙂

Weekend njema

Ubarikiwe sana.

Mhhhhh!!! haya bana siulizi tena swali la nyongeza.....🙂.

Asante sana. uwe na weekend njema.

Shem hujambo ? Kloro umemficha wapi hatumuoni siku hizi lol!

Yupo kwenye diet kwanza na mazoezi ili kitambi kipungue......., hakuna JF for weeks mpaka kitambi kiishe....LOL...🙂

Mzima wewe lakini?

Nakutakia weekend njema

jmn wengine wanahangaika lkn kitu kinasumbua kula mivyakula ya mafuta mabroiler na michips mayai wanadhani ni sifa kumbe wanajiharibu pombe na hakuna mazoez udada duu mwingi ndio maana

kaaaazi! kwelikweli mtu akivaa top tu basi kimlima kimetokea

Uzazi ndio unafanya kitambi, ila sio wote wenye vitambi, kuna wengine wamebarikiwa wakizaa tu tumbo linarudi ndani kabisa

Hahahahahah lol! Uliza tu banaaaa!....Madame KH kama nitaweza kulijibu swali lako basi nitalijibu tena kwa kina...ila nikishindwa najua nitasamehewa 🙂🙂🙂....swali jingine la nyongeza!? hahahahah LoL! haya nakutakia Jumapili njema na ubarikiwe sana.

Mhhhhh!!! haya bana siulizi tena swali la nyongeza.....🙂.

Asante sana. uwe na weekend njema.

Last edited by a moderator:
Wapunguze kula ovyo Bia nyama choma na baga...MOROKO pale duu...
Mbona Contraceptives Pills hamzitaji jamani au hamjui vitanzi na yale madonge nayo yanawatoa ndevu na vitambi dada zetu?

chips mayai kila siku, kuku anataga kila siku mayai mawili tena bila dume, kuku katengenezwa na umeme utajosa kua na kitambi? maradhi yaho

pia wanaotumia dawa za uzazi wa majira wanakabiliwa na tatizo la kuongezeka uzito na ukubwa wa tumbo bila mpangilio!

Kwa kweli inapunguza mvuto

Kwa uelewa wangu.....mimi nikiwa mmoja wapo
1. Aina ya chakula
2. Kujiachia baada ya uzazi
3. macontaceptives mengi yanatuvimbisha
4. Pia Gonjwa hili la duni
ni mawazo tu

Kwa kweli inapunguza mvuto

Kwa uelewa wangu.....mimi nikiwa mmoja wapo

Aina ya chakula

Kujiachia baada ya uzazi

macontaceptives mengi yanatuvimbisha

Pia Gonjwa hili la duni

ni mawazo tu

Mabia ya wanaume siki majanamke ukiyakaribisha bia yana kunywa nusu kret na nyama linataka na pia utoajiaji wa mimba na vi2 vngne

Wengine inawatokea mara baada ya kujifungua na kuna suala na yale madawa ya kupanga uzazi. Yaani "wanapanga uzazi huku wanapangua body structure".

Back
Top Bottom