Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

mmmmhh jamani kitambi ni utajiri...

mie changu nasukuma kwenye troli...

Zamani kwa kua huna kitambi ilionekana mlo hautoshi.
Kwa sasa kitambi ni ishara ya mlo mnono.
Tazama wenye ..... Aibu zao!
Kama hajazaa navipenda vtambi vyao.(f).
 
U could ask without posting a pic from a source people can visit to ascertain who it is..<br />
To answer u qn tuna vitambi coz na nyie mna vitambi<br />
Mhandisi mifumo na njia kuu za umeme
Sioni shida kwani haionyeshi sura wapi tatizo??vitambi ni byere nna kitmotoz
 
tumeridhika navyo,tungeona kama ni kero,tungekifanyia kazi ili kukiondosha
 
Wote mnakosa majibu. Ila i hv the answer.

1. Wanawake 2dy wamekuwa na tabia ya ajabu sana yakula kula ambapo zamani wanawake hawakuwa nayo.
2. Kula vyakula vya mafuta vyepe,nyama,kuku wakisasa na madikodiko mengine.
3. Utumiaji wamapema wa vidonge vya majira yan hapo ndio sisemi hapa kumearibu miili ya watoto wakike weng sana hili ni janga lataifa.
4. Utumiaji wa vidonge vya kuongeza miili kama hps,**** nk. Pia ni tatizo kubwa kuleta vitambi. In shot wanawake wanajiangamiza pasipo juwa!
 
borrrrrrrrringgggggggggg:smash::smash::smash::smash:...MODS wanaoleta picha za watu kuwadhalilisha wawe wanapewa BAN kidogo ya siku kadhaa ,wasijenge hii kuwa tabia!

Hakuna kudhalilishwa mtu angalia vizuri ndiyo maana hiyo picha haina sura imefichwa makusudi. Jibu mada acha kuleta hoja nyingine.
Matokeo ya vitambi ni kula sana halafu mazoezi zero.
 
kwanini wanawake wengi wa tz mna vitambi???

kitambi_kike.jpg


picha kwa hisani ya jay dee blog

They might be using their "vitambi" to think.
 
Ili na sisi tuonekane tuna pesa!Kama nyie tu!
Hahah yaani nimecheka basi tu, Lizzy nilidhani hii dhana ya kitambi kumaanisha hela ilishaisha
bongo tangu wachina walipoingia hhahah au nakosea?
 
Wanakula sana Bata pori na vyoda (wingi wa soda) kwa uma.
 
Zamani kwa kua huna kitambi ilionekana mlo hautoshi.
Kwa sasa kitambi ni ishara ya mlo mnono.
Tazama wenye ..... Aibu zao!
Kama hajazaa navipenda vtambi vyao.(f).

asante sana mkuu..
kwa kweli umenena cha maana sana..
mie wala sigusi changu..
huu mwaka mpya naenda kununua troli kubwa zaidi ....
 
Abdominal muscles are among of the least exercising muscles in the normal daily activities.

U gotta give them special exercise to burn away the fat~

I really don't like vitambiz,be aware of their consequent morbidities ,and please get to know about syndrome X.

Random and excessive ingestion + lack of appropriate body exercise may be dangerous to our health.
 
mods siwaelewi kabisaaa.....nao naona akili zao wamezirudisha kwa wenye nazo.....

......hii picha nime kopi kwenye blog ya jide kama ilivyo na kuuliza swali why.....sasa huyu kidudumtu anasema mie nawadhalilihsa???? mie nimecopy link na ku paste hapa.....mods ur goin mad ic

Ndugu yangu kuwa mpole mbona kama umechukia vile, ndio palivyo hapo JF, uvumilivu wa changamoto ni muhimu.
 
Mnatakiwa muache kushangaa cause wengi wanavyo ndio inaendelea hivyo mvizoee tu kwani havitoisha ndio kwanza idadi ya wenye navyo inaongezeka, kwa sababa haya mavyakula ndio tunaendelea kuyala zamani vyakula vilikua vya asili ndio maana vitambi vilikua hamna. Labda tuache kula kabisa tupande michicha pori ndio iwe msosi
 
Mnatakiwa muache kushangaa cause wengi wanavyo ndio inaendelea hivyo mvizoee tu kwani havitoisha ndio kwanza idadi ya wenye navyo inaongezeka, kwa sababa haya mavyakula ndio tunaendelea kuyala zamani vyakula vilikua vya asili ndio maana vitambi vilikua hamna. Labda tuache kula kabisa tupande michicha pori ndio iwe msosi

Habari yake Maty bana!

Hapo umemaliza yote huo ndio ukweli mtupu.
 
Hahah yaani nimecheka basi tu, Lizzy nilidhani hii dhana ya kitambi kumaanisha hela ilishaisha
bongo tangu wachina walipoingia hhahah au nakosea?
Hehe iishe wapi wakati mtu anapata pesa akiwa fit ghafla kitambi hicho!Na sisi sasa tunataka kuonyesha tunazo...za kunywea bia na vile vyakula vyetu tunavyoona ni vya kijanja atleast..viepe na kuku za kufa mtu!
 
Back
Top Bottom