Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Noted!
With Thanks?
Noted!
Noted!
kwanini wanawake wengi wa tz mna vitambi???
![]()
picha kwa hisani ya jay dee blog
Habari yake Maty bana!
Hapo umemaliza yote huo ndio ukweli mtupu.
huyo mdada anayelalamika tunadhalilishwa kutokana na hii picha ni walewale,
kwani huyo mdada hapo juu alijidanganya kapendeza, na akatoka mbele ya umati wa watu kila jicho likamtazama ni haki yake kukoselewa tena kwa sana kwani hakupendeza, na nguo alizovaa hazikuendana na umbo lake.
ukimaindi lugondi utapitwa na fasheni kwi kwi kwi kwi lol
:sleep:
Life style inawabadilisha watu sana. Mtu akipata vijisenti kidogo, basi anashindwa ku-control hata mlo wake mwenyewe. Utakuta asubuhi anagonga supu na chapati 2, anashushia na bia mbili. Mchana anapata ugali kwa nyama choma, anashuashia na bia moja. Usiku ndiyo usiseme, lete mbuzi weka pilipili nyingi na bia tu infinity! La kushangaza, mtu akinunua gari, kutembea ndiyo anaacha kabisa, loh! Tubadilike jamani, mbona tunajimaliza wenyewe?
Karibu uwanja wa magunia tupige tize. Jumamosi saa kumi na moja jioni tujuike Kenton Mwengeaiseeeeee.... na mie kitambi kinaanza.. ngoja niache pombe... nisije shindwa piga mechi
karibu tena karibu sanaaiseeeeee.... na mie kitambi kinaanza.. ngoja niache pombe... nisije shindwa piga mechi
HILI VILE VILE KINA BABA LINAWAHUSU eg, lile jibaba taisonia pale ikulu ya magogoni ni taswira mbaya mbele ya jamii(ubwanyenye,umangimeza, ulafi, uzembe nk)
Wee mtoto wa kike, nani kakwambia mbuzi, kitimoto na bia ni kitu mbaya?badala mkipata fedha ndo iwe rahisi kula vizuri nyie ndo mnakula vibaya....