Kwanini wanawake wengi huwazimia masupa staa??

Mie hapa hata sijui sababu

ama kuongeza CV kwamba hata Etoo Na Kingi Majuto nae kwenye record walikuwepo

oops
 
Ngoja niwape somo ndugu zangu wa kiumeni...
Sisi wanaume ndio mwenekano wa mwanamke...
Usigune bhanaaa...huo ndio ukweli...
Jinsi unavyokuwa nadhifu, maarufu, mtanashati na sifa ziambatanazo na hizo hiyo ni "credit" kubwa kwa mwanamke...
Mwanamke hupenda aonekane na atambulike mahali alipo...
Hivyo suala la kuwa na mwanaume maarufu, it's a big plus to em...

umesahau kuweka na mwenye kifua......he he he....
sasa je.....umesema kila kitu.......
 
Back
Top Bottom