Kwanini wanawake wengi huwazimia masupa staa??

Sasa mnataka tuwapende ninyi?
Hata Mtunza Bustani ni Supastaa,wadau wake ni Vipepeo na Nyuki.
 
Ngoja niwape somo ndugu zangu wa kiumeni...
Sisi wanaume ndio mwenekano wa mwanamke...
Usigune bhanaaa...huo ndio ukweli...
Jinsi unavyokuwa nadhifu, maarufu, mtanashati na sifa ziambatanazo na hizo hiyo ni "credit" kubwa kwa mwanamke...
Mwanamke hupenda aonekane na atambulike mahali alipo...
Hivyo suala la kuwa na mwanaume maarufu, it's a big plus to em...
 
Wanawake njooni mtiririke nami mfagizi wa barabara na mzibua toilet wa Arusha nipatemo kaujuzi khaa!
 
Ngoja niwape somo ndugu zangu wa kiumeni...
Sisi wanaume ndio mwenekano wa mwanamke...
Usigune bhanaaa...huo ndio ukweli...
Jinsi unavyokuwa nadhifu, maarufu, mtanashati na sifa ziambatanazo na hizo hiyo ni "credit" kubwa kwa mwanamke...
Mwanamke hupenda aonekane na atambulike mahali alipo...
Hivyo suala la kuwa na mwanaume maarufu, it's a big plus to em...

Kula 5,
Ti, Ti, Ti, Ti, Ti.
Wape Wape hao.
U-smart, Pesa, Uhongaji ndio Silaha yetu sisi Madada.
Nani asietaka Maisha mazuri jamani?
Huoni wanamuziki wa Ki-Zaire wanavyowapapatikia Mijimama,
Yote hyo ni Pesa.
2Be Smart +Mpunga=Ulimbo.

Nitarudi mkinihitaji.
 
hao si wanawake ila ni wasichana...wanawake wenye akili watatafuta mwanaume mwenye pesa...mtu anaweza akawa famous lakini njaa kali...sa wa kazi gani
 
Kula 5,
Ti, Ti, Ti, Ti, Ti.
Wape Wape hao.
U-smart, Pesa, Uhongaji ndio Silaha yetu sisi Madada.
Nani asietaka Maisha mazuri jamani?
Huoni wanamuziki wa Ki-Zaire wanavyowapapatikia Mijimama,
Yote hyo ni Pesa.
2Be Smart +Mpunga=Ulimbo.

Nitarudi mkinihitaji.

Hahahahaa...nimesoma vitabu vingi sana vya saikolojia ya mapenzi na mahusiano, sometimes huwa naogopa kufahamiana na wadada coz huishia kuwatega maana huwa naapply A - Z.
 
Huu ndo ukweli wa mambo.
Masupastaa wana wanawake wengi, hivyo kitandani ni wachovu. Masupastaa wanaogopa sana magazeti ya udaku, ukitembea naye atakuhonga hela nyingi ili uskende kwenye magazeti kueleza uchovu wake kitandani
 
Kula 5,
Ti, Ti, Ti, Ti, Ti.
Wape Wape hao.
U-smart, Pesa, Uhongaji ndio Silaha yetu sisi Madada.
Nani asietaka Maisha mazuri jamani?
Huoni wanamuziki wa Ki-Zaire wanavyowapapatikia Mijimama,
Yote hyo ni Pesa.
2Be Smart +Mpunga=Ulimbo.

Nitarudi mkinihitaji.

Bora ubaki hukohuko ulikoelekea,hapa usirudi..
 
Back
Top Bottom