Kwanini wanawake wengi huwazimia masupa staa??

Kwanini wanawake wengi huwazimia masupa staa??

Kwa Madame B niko tayari,halafu siku zote mume mwenye
wivu kama wewe ni kama anatangaza mkewe alivyo mtamu..

Kwa hyo ndo unataka kumpora lawyer wenu?

Hv Msiri wangu,
hawara yako humu CC ni nani?
Mana naona unawayawaya tu kwa wake wa wenzio.
Unachezea koki ee!!
 
Last edited by a moderator:
mara nyingi wanawake wanapenda mtu mwenye positive status flan.. eg. pesa, musician, comedian, kichwa darasani and the like.
 
Back
Top Bottom