Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,389
- 1,898
"For if a magnet is placed in a uniform magnetic field then both poles will feel the same magnetic force but in opposite directions, since they have opposite magnetic charge."
Jibu ni simple. Mabinti wa sasa wanapenda kwanza kupoteza muda kutumia usichana wao na kuexplore options zao na miili yao hadi pale muda ukiwatupa mkono ndipo huanza tafuta commitment na mtu serious jambo ambalo ni sawa na kukumbuka maji baada ya kukata gogo au kukumbuka kujifunika asubuhi jua limetoka.Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale
Napenda kujua kwanini wanawake wengi wanapenda sana kudate na bad boys.
Wanawake wengi warembo huwaambii kitu kwa wanaume bad boys au wanaume wahuni. Shida ni nini?
Mfano mzuri kuna rafiki yangu mmoja ni muhuni kweli anavuta bangi kinoma lakini kuna mtoto shombe shombe wa kiarabu kamganda jamaa. Je, anampendea nini?







Comment murua kabisa, uzi ufungwe.Katika miaka yangu michache nimedate na wanawake wazuri sana kimuonekano na wa kawaida. The most common thing nimegundua ni wanawake wanapenda a confident man anaejua anachotaka na yuko tayari kukichukua.
Wanaume wenye mwanamke mmoja nawaona Kama walemavu, Afu Kuna uhondo flani wanaukosa kwn maisha ya mahusiano



Katika miaka yangu michache nimedate na wanawake wazuri sana kimuonekano na wa kawaida. The most common thing nimegundua ni wanawake wanapenda a confident man anaejua anachotaka na yuko tayari kukichukua.
Mbona mnahangaika.....Nimeona niongeze jambo kuhusu wanawake wazuri kabisa (warembo hotcake)
Wanawake wa kawaida hawana shida sana ukishamaster mambo ambayo nimeongelea katika comment ya hapo juu ila warembo wana shughuli zaidi kwa sababu zifuatazo
Kwanza wana option nyingi. Kila siku wanatongozwa na wanatongozwa na wanaume ambao kusema ukweli wanaweza wakawa wanakuzidi pesa na kimuonekano. Hii ina maana una competition kubwa na hivyo uko replacable kirahisi ukizingua tu.
Pili wengi ni assholes. Wanakataa wanaume kila siku na tayari washajijenga kujiweka wao kwanza. Akinotice tu wewe sio ideal mate kwake anakupiga chini anajua atapata tu mwingine au ataendelea kuishi maisha yake akaenjoy.
Na hii ndio maana wasichana warembo wanaishia kupenda asshole men pia. Hence kupenda wahuni. Ufanyaje ili umpate mrembo bila ya kuwa muhuni?
1. Ushushe uzuri wake. Keshazoea kuitwa mzuri na kila mtu. Ni vizuri kutafuta sifa nyingine na tena uitengenezee utani flani hivi. Mfano ukinotice anapenda kupika vitu vingi mtandike jina la naughty chef. Epuka kabisa kuaddress uzuri wake na weka juhudi usijisahau. Haha mimi siingiagi insta kabisa na whatsapp status siangalii pia ili uzuri usinikamate akilini.
2. Usiseme unampenda kamwe mpaka mahusiano yenu yakomae. Flirt nae, mpe maneno matamu ila kamwe usiseme neno nakupenda mpaka hapo baadae labda miezi. Ukisema nakupenda tu utahamishwa katika kundi la nice guys na ataanza kukutesa.
3. Mtingishe once in a while. Hili ni suala pana ila mfano rahisi ni kuepuka kuongea nae kila siku especially mwanzoni mwa kujuana. Labda mmeongea siku ya kwanza na ya pili vizuri, siku ya tatu potea. Kama umefanya vizuri siku ya kwanza na ya pili, siku ya tatu atakufikiria. Endelea kufanya vitu kama hivi mpaka katika siku ambayo unampotezea akutafute. Msichana mzuri akikutafuta kwanza ujue ushamwin ni wako wa kumuongoza mpaka ufike lengo lako.
4. Tafuta njia ya kuendeleza mambo haraka. Inategemea mlivyojuana ila ni vema upandishe mahusiano yenu kutoka kuchat, ifuate kuongea na simu, kuonana haraka haraka. Of course inategemea na uwezo wako wa kumpanga mtu ila ikifika hatua unaweza kuonana na msichana mzuri, kuchat, kuongea na simu na kuonana nae katika date ndani ya wiki 1 ni vizuri. Ila ukiwa mtabe unaweza kufanya ndani ya masaa 24 pia hehe.
5. Jiamini. Tambua kuwa msichana wako anatongozwa kila siku. Yeye kukubali au kukataa sio ishu kwako. Ishu ni awe na wewe. Ukianza tu kuwa insecure unaanza kudharaulika. Na akifanya kitu cha kuzingua mpige ukweli mgombeze. They find it sexy maana wanaume wengine ni pleasers wanawaabudu. Ishi maisha yako, kuwa bize na wanawake wengine. Kama ni mtu wa mtandao post picha zikiwa na wanawake wengine au maeneo yenye wanawake (of course sio kipenzipenzi ila tu wawepo). Nasikitika sana ila ndio wanawake wazuri wanachotaka ndani kabisa ya mioyo yao ni kuwa na a desired person. Usimind michezomichezo yao wanaofanyaga ya kutopokea simu au kujifanya dont care. They do care na ukijiamini watakuwa na wewe. Hehe which reminds me kuna mdada mzuri sana amenibamba nimecheat na picha anazo nikaachana nae na wiki hii amenipigia simu 'kunijulia hali'. Msichana mzuri tu ambae watu wanagongana kumpata.
Kuna mengine hapa ila nadhani ukiweza haya hayo mengine utayagundua as you go.
Lete nondo mkuuHaha siku nikitulia nitaweka hapa uzi kabisa..kuna meng ukiyajua basi hawakusumbui.. mfano kuna siri kubwa tu hata kweny umri wa wanawake..ukishajua timeframe yao ilivyo basi kwisha habari yao![]()
Acha uongo wako wee rafiki khaaah,Wanaume wenye mwanamke mmoja nawaona Kama walemavu, Afu Kuna uhondo flani wanaukosa kwn maisha ya mahusiano
Sent using Jamii Forums mobile app




ChaaAjabu hii Comment imepata likes nyingi kuliko thread Husika.Kwa hivyo kuvuta bangi kwako ndiyo kipimo cha uhuni?
Ungetuambia kwanza bad boys wakojeWakuu poleni na majukumu ya hapa na pale
Napenda kujua kwanini wanawake wengi wanapenda sana kudate na bad boys.
Wanawake wengi warembo huwaambii kitu kwa wanaume bad boys au wanaume wahuni. Shida ni nini?
Mfano mzuri kuna rafiki yangu mmoja ni muhuni kweli anavuta bangi kinoma lakini kuna mtoto shombe shombe wa kiarabu kamganda jamaa. Je, anampendea nini?
Umemaliza kaka heshima kwako🙏🏻🙏🏻Kinachowafanya wanawake kuwapenda hao unaowaita Bad Boys ni 'Kutokujali'. Kutokujali ni sifa inayowafanya wanaume kufanikiwa sana kwenye mahusiano.
Ni kutojali ikiwa mwanamke atakubali kutoka na wewe au la. Ni kutojali iwapo atajibu meseji zako au hajibu. Ni kutojali ikiwa ataghairisha kukutana dakika ya mwisho kabisa baada ya kuwa mlikubaliana kufanya hivyo.
Unakuta mwanaume anatuma meseji moja haijajibiwa anakaa kuangalia simu yake muda wote akisubiri notification ya meseji. Baada ya dakika chache anatuma nyingine kama vile "Mbona kimya?" au "Mbona hujibu dear?". Tabia hii inaifanya akili ya mwanamke kukuona huna thamani na hakuna watu wanaopenda kuwa na wewe na ndio maana unatumia nguvu kutafuta ukaribu na mwanamke. Mvuto wako kwa mwanamke unapotea.
Mwanamke akionesha hana muda na wewe kwa wakati husika fanya mambo mengine. Kuna video games, kusikiliza muziki, kuangalia movie na vitu vingine vya kukupa furaha. Hao Bad Boys wana sifa hizi. Hawana muda wa kulilia mapenzi na ndio maana warembo huvutiwa nao.
Mwamba kakosea somewhere, anacharacterize beta behaviors kuwa alpha.Hakuna badboys mnyenyekevu wala anaetoa vizawadi.hizi ni sifa za Magud boys ( Average frustrated Champs)
Amin. Aaaamin.Iko hivi, kumwelewa mwanamke ni swala la psychology tu,yani unatakiwa kujua psychology ya wanawake ilivyo.
Wanawake muda wote wapo na wasiwasi,all the time wako hivyo,Ukishalijua hili kazi yako kama Mwanaume ni kujua jinsi ya kutumia wasiwasi wake au wao kama advantage kwako.
Huo wasiwasi wao unaitwa Competition Anxiety, mwanamke ana wasiwasi wa kushindana na na wanawake wenzie kila mda,angalia akinunua nguo,viatu,simu, life style,hadi wanaume wakua nae yote ni competition tu.
Sasa badboys wanatumiaje hyo nafasi? Simple badboys au alpha males wanatumia wasiwas huo huo kumgalagaza mwanamke,Yani wanafanya ku double au ku triple ile hali ya wasiwasi kwa wanawake,Kumbuka mwanamke ana wasiwasi mda wote,imagine na ww ukamuongezea wasiwasi sasa.
Badboys wanawaongezeaje wasiwas wanawake na kutumia kama siraha kwao?
Well kama nilivyosema awali, mwanamke unatakiwa kumpa wasiwasi,Then competition anxiety itaanza kumtesa na kufanya aanze kukunga'ngania mwenyew,How Sasa?jiulize ni mara ngapi girlfriend wako akija simu unafuta picha zote za wanawake wengine,unadelete message zote za michepuko,una block na namba zao kabisa ili uwe cleanuzidi kuonekana mwaminifu ili upendwe zaidi,kuna muda hata kumpost mwanamke mwingine kweny status unaogopa,Sasa hili ndo tatizo lenyew linalo wacost magud boys
Iko hivi, mwanamke tumesema anawasiwasi mda wote, wasiwas wa competition,Ikitokea ww unamuondolea wasiwasi huu basi automatically anaku over power kadri siku zinavyoenda.Tunakosea sana pale tunavyo ficha sms, picha,block wanawake wengine ili tu ulie nae akuamin na akupende,tumesema dawa ni kudouble au ku triple kabisa wasiwas wake.
Mwanamke anapojua wazi kua kwako hayupo peke yake au kuna wasichana wengine wanakutaka automatically ume double wasiwasi wake,itaanza kumfanya akugande mda wote akiogopa competition huenda ikamtupa nje ya mchezo..kumbuka Competition anxiety itamfanya aendelee kukushikilia hata iweje.Ndio mana wahuni siku zote hugandwa na hawa wanawake.Muhuni hafichi sms,muhun hablock namba za wanawake wengine akisa na girlfriend wake,tena simu ikiita anapokea palepale,muhun hafichi hata picha za utupu alizo mpiga Aisha kisa jack akija ataziona,akizona ndio competition anxiety inazidi kumjaaa.
Jiulize ni mara ngap manzi anajua huyu muhun ni malaya lakin habanduki? Mar ngapi muhun anafumaniwa lakin kesho mwanamke anarud tena? Competition anxiety ndio jibu, mwanamke hatoweza kuondoka kirahisi coz anajua wazi akisha Mucha kirahis jamaa wenzie watakuja, basi automatically akikumbuka hivyo tu basi kesho anarudi.
Hivyo basi wahuni ndiomana wnagandwa kwasababu wana triple wasiwasi uliopo ndani ya wanawake kisha wanautumia kwa faida yao,kuna muda muhun anamwambia Mwanamke kama hauji nimuite Angel,na huyo bibie anajua kabisa jamaa hatanii hata kidgo,asipoenda basi angel ataenda kukalia punda mapema,kuogopa competition basi ataenda haraka haraka.Hivyo basi ukitengeneza mazingira ya wasiwasi una nafasi kubwa kwa huyo mwanamke akaendelea kukuganda,jitahid hata mara moja moja akute hata sms imekuita baby,yani we jitumie hata kwa namba yako nyingne tu sms ya Baby umekula? Alafu aje aione,utakua ume triple competition anxiety na kumfanya aanze kukung'ang'ania .
HAKUNA KITU KINAWAUMIZA KICHWA NA AT THE SAME TIME WANAKIPENDA WANAWAKE KAMA KUA NA MWANAUME AMBAE KILA MWANAMKE ANATAMANI KUA NAE,NA KILA MWANAUME ANATAMAN KUA KAMA MWANAUME HUYO.
Nafikir niishie hapa,bila shaka ushajua kwanini wahuni wanapendwa sana,hiyo ni Reason moja kubwa..sijataka kutoa sababu zingine ambazo zipo kwa sababu ya mda imebid niseme hiyo moja ambayo ni kubwa sana lakin nilichoongea pia ni psychology research imefanyika na mtalamu wa psychology based on behaviorism ziaid ya miaka 15.Kwaiyo hizo ni psychology findings,heshima kwake Rollo Thomass.
Wakati huo miamba tunamove on kwa mwingine, pisi kali maradufu!Hao ni Wasichana si Wanawake, utambue kuna tofauti kubwa sana kati ya Wasichana na Wanawake.
Wanawake wakifikia hatua ya kusema sasa basi, ni basi kweli hata waje watu wote duniani akishachukia sababu ya uvumilivu kufika kikomo haina jinsi.