hawajui kuweka mambo rohoni
hawana visasi
wananuka jasho la kiuanaume
wanamarafiki wakiume wengi kuliko wakike
wakipenda wanapenda haswa labda tu akutamani
wanagenge la kusaidiana matatizo sio wale umedondoka kwenye maji anakuselfie apost wavuvi waje wakuokoe
wanakauli msisitizo sio wale wa ndiyohapana
hawana mda wa kuwasikiliza majirani
kikubwa zaidi hawana mda wa kutweta na ndugu zao juu ya uhusiano wenu (kwa wale mawifi na mashemeji wenye chokochoko)
akikupenda na akajua unampenda kweli bila kumsaliti yupo radhi akukabidhi mshahara wake hii ni kwavile genge lake ni watu wa kusaidiana so huofia huenda atazimalizia huko.
Tunajua kuwabebisha na pia tuna msimamo, sio watu wa kupelekeshwa hovyohovyo na wanawake.
Nikimkuta kavaa vinguo vya ajabu ajabu nampiga mikwara ya maana "we mke wa mtu unavaaje nguo za namna hio, kama umeshindwa kujiheshimu basi niheshimu mimi mumeo"
Hapo basi bichwa hilo ashajiona tayari ni mke wa mtu lazima abadilike.
Kuna zile commands za kiume nnataka hiki na hiki sitaki lazima zizingatiwe.
Unawawekea mazingira hata akitaka kutoka kwenda sehemu lazima akutaarifu, na safari nyingine zisizo na maana ukimwambia no ni no kweli hamna kwenda.
Kama mkristo kila jumapili lazima nimsisitize kwenda kanisani na kama haendi lazima awe na sababu maalumu itakayokubalika, kama ni muislam ndio kabisaaa maana kila siku lazima aulizwe kama amesali.
Akizingua unampiga matukio yeye mwenyewe anarudi kwenye mstari.
Sema kwa upande mwingine hua wananishukuru kwa kuwasaidia kuwarudisha kwenye mstari wa maadili, kuanzia mavazi ya staha mpaka suala zima la kua watu wa Ibada.
Kikubwa mwanaume unatakiwa ujue kumbebisha mwanamke mpaka anahisi hakuna mwanaume mwingine atakaempenda zaidi yako, ukishaweza kucheza na akili zao utaweza kuwakommand na kwa hiari yao watafanya chochote unachokitaka na wataacha yote usiyoyapenda.
Akili mtu wangu bila kusahau kusimamia show ya kiwango cha standard gauge.