Kwanini wanawake wanapenda ‘bad boys’?

Kwanini wanawake wanapenda ‘bad boys’?

Kwasababu "We don't care at all".

Wanawapendea nini: Love doesn't ask why, awe shombe shombe au Cheusi Mangala sie tunapiga Machine, Aaf unapita hivi.

We don't praise color or pussy we just do at best what supposed to be done at present and forget. That's all.

Welcome to the CLUB.
Wewe huyo...true definition ya bad boy
 
MKUU HAPA UMEMALIZA KILA KITU, KAMA NI MTIHANI NINGEKUPA 100% NA YA SODA JUU.
Tupo pamoja mkuu,nitasaka mda nishushe nondo za kuwajua hawa watu ili wasikusumbue ,watu wanateseka sana mkuu
 
Hao ni Wasichana si Wanawake, utambue kuna tofauti kubwa sana kati ya Wasichana na Wanawake.

Wanawake wakifikia hatua ya kusema sasa basi, ni basi kweli hata waje watu wote duniani akishachukia sababu ya uvumilivu kufika kikomo haina jinsi.
Mzee nitakuja siku na somo la sexual market value,hapa nitakuchambulia wanawake age to age...Hili nililosema ni la wanawake na wasichana wote...kanuni ni zile zile ,unachotakiwa kujua ni psychology behind women basi.
 
Sana sana utajizeesha tu au kujipatia magonjwa tu, Ke B 5 wote duniani utawamaliza?
Kuna kitu kinaitwa plate theory,kuwa na wanawake wengi haimaanishi utembee nao wote.. it's all about options,ni kama mvuvi utavua wengi utachagua wawil watatu wazur the rest utawarudisha bwawani...hapa point ni option na hii ndio kiboko ya wanawake..muoneshe una options.
 
Back
Top Bottom