Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,558
- 1,460
Wakuu kwa Ufupi labda niweke kwa Ufupi maana haina haja ya kujaza Page nyingi halafu hatuna Summary
Problem Statement
1. Wanawake kutohudhuria kwa wingi Mikutano ya CDM as compared to Mikutano ya CCM.
2. Hata hao wachache wanaohudhuria hawaungi mkono waziwazi
Sababu
1. BAWACHA imelala katika kutoa Elimu Mahsusi kwa wanawake inayolenga kuwakomboa Kifikra
2. Mfumo wa Kiuongozi unaowanyima Fursa wanawake hasa wale wanaonekana kuwaunga Mkono wapinzania waziwazi
3. Wanawake kupendelea kupewa vitu kama Khanga, T-shirt, Sikari, Taarab na Burudani Mbalimbali ambavyo CDM imekuwa haitoi
Suluhisho
1. BAWACHA ichukue jukumu lake kuhamaisisha wanawake Tanzania kote ikiwezekana waajiriwe watu Mahsusi kwa ajili ya kazi ya Uhamasishaji
2. CDM na Watanzania indelee kutoa Elimu kwa Uma na hasa Wanawake
3. Itamkwe kwamba BAWACHA imeshidwa jukumu lake la Msingi
Hayo ni Mawazo yangu kwa leo