Ukitumia akili ya ung'amuzi, utajiuliza je hawa wanawake unaowaona kwenye mikutano ya CCM na mkewe CUF, ni wanawake na namna gani?
Utagundua kuwa wengi wao ni wale watu hopeless ambao mara baada ya mkutano kuisha, ukimuuliza kimeongelewa nini cha maana hajui. Kitu pekee atakachokumbuka ni mipasho ya Kikwete na matusi ya Lusinde.
Kwa upande wa pili, utaona hao wachache wanaojitokeza kwenye mikutano ya CDM, ni wanawake liberated ambao wana adabu zao na si rahisi kuacha shanga nje wakakatika kwenye mavumbi. Wanakuja kusikiliza hoja.
CHADEMA haigawi khanga wala kupiga taarab, wanawake wa hovyo hovyo lazima wajae