Kwanini wanawake wanaiunga mkono CHADEMA kwa woga?

Kwanini wanawake wanaiunga mkono CHADEMA kwa woga?

NA ASHTON BALAIGWA

24th July 2012

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoani wa Morogoro,
ccmkimesema wanawake ndio kikwazo cha mabadiliko ya mageuzi nchini na kuwataka wanaume kuwalazimisha wake zao kukiunga mkono chama hicho hata ikiwezekana kuwatishia kwa talaka.
CHANZO: NIPASHE
​
Hapo kwenye red ndio nini tena?...Mkuu, au ndio umecopy and paste, na ku'replace neno CCM byCDM?
 
...wanaume kuwalazimisha wake zao kukiunga mkono chama hicho hata ikiwezekana kuwatishia kwa talaka.

huwa sitizamagi tbc, lakini wakat nachekecha rimoti yangu leo nikamuona Sugu ilibidi niskize kidogo, na katika mazungumzo, Bw. Nkamia alisema kuna baadhi ya magazeti yanaandika maoni, baadhi yanaandika habari.
 
Wataelewa tu wala msijal hata arabun wanawake walipaza sauti zao kukaribisha mabadiliko. Kumbuka shida humtoa mtu ndani
 
Mwandishi namjua wewe sikujui, mwandishi hajaandika popote kuwa msemaji alikuwa anajoke. No serious leader can joke on serious issues. Tell me she is not a serious leader, I will understand.
Na wewe siku hizi unatumika...ohoo...magamba ni wengi humu jamvini.
 
*Kwa sasa CHADEMA ndio chama cha upinzani kinachoungwa mkono zaidi hapa Tanzania.

*Kama utaigawa jamii ya kisiasa kwa mafungu matatu yaani VIJANA(50%), WANAWAKE(40%) na WAZEE(10%) utagundua CHADEMA inaungwa mkono zaidi na vijana kuliko makundi ya wanawake na wazee.

*Jambo moja kubwa kwa bahati mbaya sana ni kwamba tafiti zinaonyesha kwa sababu ya Uelewa duni, Woga wa mabadiliko ya kisiasa na Umaskini wa kipato miongoni mwa makundi ya wanawake ndio vinavyopelekea kundi hili kuendelea kuwa mtaji wa kisiasa wa CCM.

*Sasa wadau wapenda mageuzi tujadili na kutoa ushauri wa namna ya kulitatua hili sasa.
 
*Kwa sasa CHADEMA ndio
chama cha upinzani kinachoungwa mkono zaidi hapa Tanzania.

*Kama utaigawa jamii kwa mafungu matatu yaani VIJANA(50%), WANAWAKE(40%)
na WAZEE(10%) utagundua CHADEMA inaungwa mkono zaidi na vijana kuliko
makundi ya wanawake na wazee.

*Jambo moja kubwa kwa bahati mbaya sana ni kwamba tafiti zinaonyesha kwa
sababu ya Uelewa duni, Woga wa mabadiliko ya kisiasa na Umaskini wa
kipato miongoni mwa makundi ya wanawake ndio vinavyopelekea kundi hili
kuendelea kuwa mtaji wa kisiasa wa CCM.

*Sasa wadau wapenda mageuzi tujadili na kutoa ushauri wa namna ya
kulitatua hili sasa.

nadhani tuchukue mkondo wa siasa za ulaya zilipokuwa zinajijenga karne 14 ambapo wanawake waliondolewa kwenye siasa,ikishindikana wahongwe khanga,t-shirt kama wanavyofanya wengine,make hizi mbavu zetu bhana hazieleweki kabisa na ndio wanaturudisha nyuma.
 
Kuhonga tena?

Mimi nafikiri kama wanapenda Kanga na T-shirt ni bora Chadema wakatengeneza za kwao kisha wakauza kwa bei ya wastani(Non profitable price)
 
kundi kubwa la vijana likweza kujitambua na kutimiza wajibu wake kama.....kuelimisha na kuamasisha wazee wetu,kusimamia haki zao za msingi kwa nguvu zote,kukataa kutumiwa kwa vijisenti na kubwa kuliko yote vijana tuwe na tabia ya kupiga na kulinda kura kwa nguvu zote basi tutawapiga bao wenye sera mfu
 
Mkuu kwa vijana hakuna shida sana maana hayo yanawezekana na yamewezekana sana.

What about our mother and sister?

*Kumbuka wanawake ni kama 40% ya political population na ndio voters wazuri sana.
 
Waongeze viti maalum mie mwenyewe nataka ubunge wa viti maalum
 
Mkuu kwa vijana hakuna shida sana maana hayo yanawezekana na yamewezekana sana.

What about our mother and sister?

*Kumbuka wanawake ni kama 40% ya political population na ndio voters wazuri sana.
mama na dada zetu wanajali amani na utulivu....kama vijana tutaweza kuondoa vurugu na fujo kwenye harakati zetu za madadiliko, basi uwezekano wa kuwavuta ili wasikilize sera safi kwa amani wataona mapungufu ya ccm na kufumbua macho.....amani ndio silaa wanayo itumia ccm kuwashika mama na dada zetu kwenye mikutano yao hakuna fujo na hujisifia kwa kujiita wapenda amani
 
Thank you mkuu.
''Amani na utulivu kwenye harakati za kisiasa''

Ni jambo zuri sana japokuwa hizo habari za fujo ni propaganda au ni matukio ya kupangwa na CCM kwa ushirikiano wa vyombo vya dola dhidi ya CHADEMA.

Any way, issue ni kuzuia au kuepuka yasitokee kwenye harakati za CHADEMA kwa kutumia busara na hekima.
 
nashukuru umenielewa mkuu hata mimi naamin huwa zinapandikizwa lakin ni vijana tunao tumiwa sio kina mama wala wazee tuki kataa hili tuta wapunguza nguvu
 
Back
Top Bottom