Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

Status
Not open for further replies.
pdidy itondo lya mwisho kunu ulane.ikwawi lya kasa lyike kama fuko,kiboboru,kana sha ikurang,aa,tumbo kama kishosho shukuru MUNGU kimachame kipo kidogo sheke kuwundo bongolala heyo.

shakwekyaa kyaa dada manka mpalestina? lakini mods mbalufingia kyaa lakana nao. Lakini enyi mbon shiishi kirera na paa. nta kwashitia shirera kufuraa ewe kumun kyaa dada. shii shii kilya kya nkuuni nkuuni. lakini @piddy yeu nyi isembo lya mwisho kunu ulaneni, urhumbi lwakwe.
 
Last edited by a moderator:
wamachame mna nyota inayong'ara, mpaka nawaonea wivu, yaani mpaka watu wanaacha kazi zao kuwajadili? mpo juu, mmefunika wanawake wa kabila zote. MNASTAHILI KUIGWA. BIG UP MACHAME WOMEN
 
Si Wamachame tu hata Wanawake waliotokea kwenye familia ambayo mzazi wao wa kiume alikuwa anainyanyasa sana familia yake, mke wake huwa makatili, atajitahidi kubadilika atakapokuwa karibu or kuolewa na Mwanaume mwenye upendo na anayejali, ukimzingua hachelewi kukupiga kisu
 
Proudly to be mmachame! Ninaenjoy kuona people zinamwaga mapovu hapa...machame, machame! I thnk tunaongoza kwa uzuri, hardworking, education na mengneyo! Huwezi linganisha mtoto aliezaliwa hospitali, akaishi nyumba ina umeme, kasoma amekalia dawati, anatembea kwenye lami toka mdogo...umfananishe na vyasaka...amezaliwa porini, hajawai ona umeme tangu azaliwe hajawai panda gari toka azaliwe! Kha! Machame wako na confidence sana, na they run Tanganyika na E.A kwa ujumla! Endeleeni ku2paisha tu jameni!
fwaka
 
me namjua mmoja anakaa kimara resort jina namuhifadhi ile ipo siku hapa jamvini nitawaja coz hawana roho za ubinadamu.nikiwa hospital nimelazwa kwa ajili ya kujifungua hakuja.akajidai kuja wakati nimeshatoka hosptl vile vitu sijavitumia mpaka leo nasubiri tu siku moja nimrudishie coz alichangia sana kwa mtt wangu kufa.na menngine mengi kwakweli wanawake wa kabila hili ni waajabu sana.ss kabila letu ukisema unaoa mmachame unatengwa kabisa.washenzi sana watu wa kabila hili
Kwani yeye ndo aliyemua mtoto wako?acha mambo ya ajabu bhna
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom