lizzy nakwambia watasoma namba na mwakani tutaozesha sana sana mpaka wajiju kukimbilia sura nzuri
atakuwa mkuria huyo si anajua ngumi kwa ngumi na wmachame wakishindwa wanachukua sime ama panga lililo karibu waulize kule tankibovu mama aliwafanyaje leo aana enjot na gorofa lake na kangast cha mwaka wa kwanza pale ifm
Mie nae jenga nDOa to be na huyu mmachame nifwanyeje ati. .
acha hasira mkuu. makabila mengi sana huongelewa humu. yapo makabila yaliyoambiwa ladies wao ni wachafu (mtwara), malaya (mbulu-wairaqi). Nashangaa inapokuja watu wanajadili uchaga humu ndani watu 'wanawaka' utadhani wanaenda kutahiriwa bila ganzi.
Acha watu wafunguke elimu iwe kubwa watu wasijewakaingia chaka bure kwa kwenda kuoa kusikooleka
CRAPjitazame upya kamanda. We jiulize kwanini wachaga wa sehemu nyingine wanawakimbia hawawaoi hao wamachame ndo utajua kuwa mziki wao wa kuucheza ni watu wakuja sio wa huko huko migombani! Huwa wanaoana wenyewe kwa wenyewe (wamachame kwa wamachame tu) au wakuja kama wewe, chenge, edo boy etc.
Mimi nawependa sana Mzalendo naomba uni PM
Nyie bila kabati la mbeho hamuolewi nyie!
Wanawake wa kiamachame ndio wa kuoa.
waambie ndugu yangu,tatizo ukiona watu wanatukataa hawapendi challenge ndio maana,wanataka wa2 wa kusema ndio ndio kila ki2 sa kwa nini kukawepo neno hapana,
waambie ndugu yangu,tatizo ukiona watu wanatukataa hawapendi challenge ndio maana,wanataka wa2 wa kusema ndio ndio kila ki2 sa kwa nini kukawepo neno hapana,
nikutana na mmachame wa ukweli huyu chasaka lazima atachezea kibuti
najivunia kuwa mdada wa kimachame kabisaaaaa,
waambie ndugu yangu,tatizo ukiona watu wanatukataa hawapendi challenge ndio maana,wanataka wa2 wa kusema ndio ndio kila ki2 sa kwa nini kukawepo neno hapana,