Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

Status
Not open for further replies.
Mie nae jenga nDOa to be na huyu mmachame nifwanyeje ati. .

mi nakushauri ngangana nae mpwa ila ukishindwa kuwahi kujenga kwenu utajenga kwao piga ua na hiyo
si ombi ni lazima utatujuaje kaskazini na kusini...kaulize oldmoshi lami inavyomwagika wakwambie na mtwara
kulivyo ujue atukuja kutengeneza uzi wa viatu dar tumekuja kushona viatu na kuchkua heleri zenu ati
 
me namjua mmoja anakaa kimara resort jina namuhifadhi ile ipo siku hapa jamvini nitawaja coz hawana roho za ubinadamu.nikiwa hospital nimelazwa kwa ajili ya kujifungua hakuja.akajidai kuja wakati nimeshatoka hosptl vile vitu sijavitumia mpaka leo nasubiri tu siku moja nimrudishie coz alichangia sana kwa mtt wangu kufa.na menngine mengi kwakweli wanawake wa kabila hili ni waajabu sana.ss kabila letu ukisema unaoa mmachame unatengwa kabisa.washenzi sana watu wa kabila hili

ma'Gloria! Plz, hii ni aina gani ya lugha? Hata ID Yako haifanani na lugha yako! Acha hizo,
 
ninachowapendea ukishindwa kuresign kwenye ndoa mwenyewe wana kuterminate fasta awataki ujinga
 
yani mnavyowasema wamachame ndivyo mnavyozidi kuwapandisha chati maana w2 wakifata wanakuta ni tofauti na wanavyowasema na wanavivutio vyote vinavyoitajika kuwa mke/ mume bora wamewapita woteee kwa vigezo na masharti kazi kwenu wala hawaitaji promo zenu

tatizo liko kwenye miguu...!
 
Acha ujinga wako bac ww! Mmachame anauzur gan? Wa2 wanatmbea km wanapnda milima! Wamarangu ndo wanaongoza kilmanjar nzima,
 
Kuna mama mmoja wa kimachame alipanga kwa mmachame mwenzie mabibo mpakani. Ikatokea ugonvi baina ya huyo mama na mama mwenye nyumba, ulipigwa mkono wa kufa mtu, baba mwenye nyumba akaenda kuitwa naye akala kichapo havi, mume mtu naye alipofika akala kichapo. Yaani huyu mama alikuwa ni balaaa, ni wale wenye shepu ya jeneza,juu mpanaa chini mwembamba, yaani hyo mama ndosi aligoma pia hata kuhama.

yeeeeeesuuuuuuuuuuuuu! mbavu sina mie! mtu anaweza kuona ni utani lakini practically hao viumbe wako hivyo sema tu ukweli unauma
 
Pdiddy nakushukuru kwa kuleta huu uzi maana nimecheka mpaka basi. Aisee sikujua kama kuna watu wana shape lkama ya jeneza
 
kuna mmoja huku kiteto, manyara alikorofishana watoto wa kaka yake, baada ya ugomvi kukolea akaendea panga akataka kuwacharanga watoto wa kaka yake. mwanzoni tulidhani utani, bahati nzuri madogo walitimua mbio. Na jamaa wakikasirkia lazima wajitambulishe kuwa 'wao ni wanawake wa kimachame'.
 
sasa kwangu ninalo halafu nipate mwanaume asiyenalo huyo c anaonyesha ataniachia nitunze familia heri nipate mwenye nalo najua tutasaidia,hatutaki kulea watu wazima,halafu acha kuniharibia kwa nito,sawa eh?!mwenzio ana pick up!

Ana Toyota Stout huyo! Hana dili. Mi nna Cruza, mkonga, ya 2010, pick up lakini hata ukijileta kwangu bure sikutaki bana! Usije uka ni mwakyembe bure!
 
Wapelekee redet hii mada na fungu watakusaidia kufanya iyo kaz! ukabila au udini wa nn???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom