instagramboy
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 1,521
- 346
umekosea katika kuelezea kwenye swali lako hapo juu uliposema Qurain ndio kitabu pekee kilichoruhusu mke zaidi ya mmoja,,,nadhan sio kweli..kwani kuna sehemu kwenye biblia au kitabu kingine kimeelezea mke mmoja? kwa kusahihisha ni kwamba Qurain ndio kitabu pekee kilichotoa idadi kamili vingine havijatoa idadi kwahiyo hata dini nyingine unaweza kuoa zaidi ya mmoja..hakuna sehemu imeelezea idadi ktk biblia au maandiko mengine
Una safari ndefu ya kuweza kuelewa vitabu vya dini kwa style hii
nikuulize swali rahisi
nijuavyo mimi mwenyezi Mungu hajaweka sharti ambalo binadamu hawez kulitekeleza
na ukweli ulio waz ni kwamba hata kma utakuwa na wanawake 20 yupo mmoja tu ambaye ndye utampenda..... Kimsingi ktk mahusiano ya ngono moyo hauna uwezo wa kumpenda mtu zaidi ya mmoja....... Sana sana itakuwa ni tamaa tu ya ngono na si mapenzi
hivyo kama nilivyotangulia kusema hapo juu.. Mwenyezi Mungu anajua fika kuwa binadamu hawezi kuwa na wake wawili akawapenda kwa kiwango sawa.... Na ndyo maana hata alivyomwumba adam alimpa msaidizi mmoja na si wawili akijua fika kuwa anamtosha na ndyo uwezo wa moyo wake ktk upendo....
kama quran kweli inatambua mke zaidi ya mmoja bas ina mapungufu makubwa mno
BIBLIA INASIMULIA WATU WALIOWAHI KUWA NA WANAWAKE WENGI ILA HAIJARUHUSU MKE ZAIDI YA MMOJA.. INATAMBUA MKE MMOJA PEKEE...... MAANA HUWEZ UKAWA NA WAKE WAWILO MKAWA MWILI MMOJA JAMBO HILI HALIWEZEKANI... MSAIDIZI NI MMOJA PEKEE
HAO WENGINE NI UZINZI NA TAMAA YA NGONO