Kwanini wanawake wa Kiislamu hawautaki tena ukewenza?

na ni wapi inapoonesha kuwa hao akina daudi na solomon walifunga ndoa????

Katafsiri kiarabu kwenye quran huko.. Biblia haisemi hivyo.. Kuwepo kwa stori ya kuwa daudi alikuwa na wanawake wengi haimaanishi kuwa ni halali

wapo wanaozini lakini wakijua fika kuwa uzinzi ni dhambi

hivyo ht daudi au solomon kama alikuwa na wanawake wengi haileti tafsiri kuwa ni halali. HAIRUHUSIWI.... Una uume mmoja wake wengi wa nini

Hahahaa
Wanafikiri biblia inafsiriwa tu na kila mtu...
The Bibble book its for everyone bt its Holyness its for choosen one's'
 
Hapa piga ua waislaam wako sahihi kuoa wanawake zaidi maana mmoja hatutoshi kabisaa vinginevyo ni uvumilivu tu. Sisi maumbile yetu mbegu zinazaliwa sana kiasi kwamba mkeo hawezi kukuudumia kila unapohitaji itakuwa kero kwake, hivyo wawili au watatu wanatosha kukabili tatizo hilo, wanaokimbia uke wenza wachoyo sana unakuta mke ana uwezo wa kukabili ndoa lakini ukiitaji malalamiko eti unamyanyasa, utasikia mie sio mti bwana, watuache tuoe watatu kwani wahitaji ni wengi sana nao wanaumia kutotulizwa kitenesi chao.
 
Ni Nadharia yako siyo ya Mungu. Kwani alipoumba adam na eva kwa nini hawakubakia hao hao wawili tu kama lengo ilikuwa ni kutunza hiyo idadi yao? Unamuwekea Mungu maneno mdomoni ambayo hakuwahi kuyatamka na hayapo kwenye biblia. Kama biblia ingekataza wake wengi hakuna mtumishi wa Mungu angeoa wake wengi. Hivi wewe unaweza kujilinganisha na mtumishi wa Mungu Daudi? au Solomon? au Yakobo baba wa kabila 12 za israel? una wema gani ulionao hata kuwahukumu hawa kuwa walifanya dhambi kwa kuoa wake wengi hali Mungu mwenyewe hakuwahukumu wala kuwaonya kwa jambo hilo? kwa nini unataka kujikweza hivyo?

topic inasema hivi
""kwanini baadhi ya wanawake wa kiislam hawapendi ndoa za wake wengi siku hizi""
 
Nipo kwenye kozi inayoitwa The concept of plural marriage and fair treatment of co-wives na ninatakiwa kufanya presentation mbele ya panel wiki mbili zijazo. So maoni ya wadau hapa ni ya mhimu ili niweze kugraduate, naomba uache wenye michango waje kunisaidia.

Back to the topic, ndugu zanguni Qur'an ni kitabu kitakatifu pekee kinachoruhusu mwanaume kuwa na wanawake zaidi ya mmoja yaani mwanaume anaweza akaoa mpaka wanawake wanne so long as anaweza kuwahandle.

Lakini katika miaka ya hivi karibuni wanawake wa kiislamu wamekuwa hawataki kuwa mke wa pili, watatu ama hata wa nne. Pia hata yule mwanamke ambae tayari yupo kwenye ndoa akisikia kuwa mume wake ana plan ya kuoa mke wa pili nakuambia nyumbani hapatakalika.

Swali langu ni kwamba, je ina maana wanawake wa kiislamu wameamua kupingana na maandiko yanayoruhusu hicho kitu ama je siku hizi kitabu hicho siyo mwongozo tena?

.........Kwa hiyo presentation yako mbele ya panel ni kuwa 'wanawake wa Kiislaam wameamua kupingana na maandiko, na Qur'an si muongozo tena kwao !?'

.....kawaambie hivi: (hao watu wa panel !), 'ikifikia hapo pa kupinga na kukana kuwa si muongozo'...basi hao wanawake si Waislaam na mjadala uishie hapo !

Ila Wagalatia mna ***** ***** humu JF !
:cool2: bornagain
 
Wanawake tunaoijua dini hatuchukii mitala katu,kinyume chake huyo mwanamke ni muislam jina tu hajui hata alifu.
 
Hapa piga ua waislaam wako sahihi kuoa wanawake zaidi maana mmoja hatutoshi kabisaa vinginevyo ni uvumilivu tu. Sisi maumbile yetu mbegu zinazaliwa sana kiasi kwamba mkeo hawezi kukuudumia kila unapohitaji itakuwa kero kwake, hivyo wawili au watatu wanatosha kukabili tatizo hilo, wanaokimbia uke wenza wachoyo sana unakuta mke ana uwezo wa kukabili ndoa lakini ukiitaji malalamiko eti unamyanyasa, utasikia mie sio mti bwana, watuache tuoe watatu kwani wahitaji ni wengi sana nao wanaumia kutotulizwa kitenesi chao.

Labda kwa wanaume wabnafsi wanaodhani kusex ni kutosheka wao tu

kama ni kusex kwa kutosheka wote bas MKE MMOJA ANATOSHA
 
Ni Nadharia yako siyo ya Mungu. Kwani alipoumba adam na eva kwa nini hawakubakia hao hao wawili tu kama lengo ilikuwa ni kutunza hiyo idadi yao? Unamuwekea Mungu maneno mdomoni ambayo hakuwahi kuyatamka na hayapo kwenye biblia. Kama biblia ingekataza wake wengi hakuna mtumishi wa Mungu angeoa wake wengi. Hivi wewe unaweza kujilinganisha na mtumishi wa Mungu Daudi? au Solomon? au Yakobo baba wa kabila 12 za israel? una wema gani ulionao hata kuwahukumu hawa kuwa walifanya dhambi kwa kuoa wake wengi hali Mungu mwenyewe hakuwahukumu wala kuwaonya kwa jambo hilo? kwa nini unataka kujikweza hivyo?

Kwanz ww biblia inakuhusu nini.. Kwanini waislam mnakuwa kimbelembele kuhusu biblia.. Moyoni mnakiro kuwa biblia ndo kitabu takatifu.. Ma ipo siku mtakiri kuwa ukristo ndo dini pekee ya kuwasiliana Mungu.. Hzi zingne majanga....

Biblia ndyo inayotoa maneno na maagzo halisi ya mwnyezi Mungu...
 
.........Kwa hiyo presentation yako mbele ya panel ni kuwa 'wanawake wa Kiislaam wameamua kupingana na maandiko, na Qur'an si muongozo tena kwao !?' .....kawaambie hivi: (hao watu wa panel !), 'ikifikia hapo pa kupinga na kukana kuwa si muongozo'...basi hao wanawake si Waislaam na mjadala uishie hapo ! Ila Wagalatia mna ***** ***** humu JF !:cool2: bornagain
kwema mukulu??? Hayo mambo yalimshinda muhammad na kubakia kuwadanganya wanawake kwa wahyi! wee unajua upige nje ndani ngapi hadi mkeo atosheke? Jee ukiwa na.4 si ndio utabakia tu yangu yangu! Huo mchuzi wa pweza ima viroba jogoo havisaidii hapo! Tena umenikumbusha mpemba alichapiwa mkewe, kwa hasira na uchungu naye akamuapia mkewe kwamba lazima naye amfedheheshe kwa kugawa vutu mtaa mzima! Ni dawa hiyo kweli? Ndio sababu wanawake hawataki ukewenza, wanaume ni mdebwedo....
 
Kwanz ww biblia inakuhusu nini.. Kwanini waislam mnakuwa kimbelembele kuhusu biblia.. Moyoni mnakiro kuwa biblia ndo kitabu takatifu.. Ma ipo siku mtakiri kuwa ukristo ndo dini pekee ya kuwasiliana Mungu.. Hzi zingne majanga....

Biblia ndyo inayotoa maneno na maagzo halisi ya mwnyezi Mungu...

Acha umbea nyie ndo mmeingia mada isiyowahusu.
 
kwema mukulu??? Hayo mambo yalimshinda muhammad na kubakia kuwadanganya wanawake kwa wahyi! wee unajua upige nje ndani ngapi hadi mkeo atosheke? Jee ukiwa na.4 si ndio utabakia tu yangu yangu! Huo mchuzi wa pweza ima viroba jogoo havisaidii hapo! Tena umenikumbusha mpemba alichapiwa mkewe, kwa hasira na uchungu naye akamuapia mkewe kwamba lazima naye amfedheheshe kwa kugawa vutu mtaa mzima! Ni dawa hiyo kweli? Ndio sababu wanawake hawataki ukewenza, wanaume ni mdebwedo....

...........Vaticani ina jadili ruhusa ya kuoana wenyewe kwa wenyewe, maana inajuwa kuna waseng.e kibao walisha waharibu pale Altareni. Hivyo si muda mrefu utakuwa unavinjari Kanisani na 'bwana wako' ! Userne
 
Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 inaonesha kuwa sehemu kubwa ya idadi ya watu nchini ni watoto wenye umri wa chini ya miaka 15 na vijana.

Sensa hiyo inaonesha kuwa idadi ya Watanzania ni milioni 45, kati yao wanawake ni milioni 23 na wanaume milioni 21.9. Tanzania Bara ina wanaume milioni 21.2 na wanawake milioni 22.4 na Zanzibar ina wanaume 630,677, wanawake 672,892.
 
...........Vaticani ina jadili ruhusa ya kuoana wenyewe kwa wenyewe, maana inajuwa kuna waseng.e kibao walisha waharibu pale Altareni. Hivyo si muda mrefu utakuwa unavinjari Kanisani na 'bwana wako' ! Userne
mukulu vatican ndio aya gani hau? Mpemba baada ya kuchapiwa na ibakie ni siri ya ndani kabakia mama ame wanfedhehesha weye, walahi na mie ntagawa vutu ntaa nnzima!; ni ufumbuzi huo hau? wee una wake.3 unawapa futari tu ikija kwenye ngono umebakia kuinawa tu yangu yangu, lazima uchapiwe tu! Soma q.33:28 uone muhammad maji yalipozidi unga kabakia udananda tu! Uchu baki...
 
sasa tukisema kuoa mke mmoja nahao milion moja wataolewa na nani??? hiyo ndo hekma ya kuruhsu mume kuoa mke zaid ya nmoja
 
Dini haitaki wanawake wasome ili waweze kuolewa ndoa za "vodajamaa"(mume 1 wake 4).Kwa wanawake waliosoma na kuwa na uchumi wao hawataki kushare uume.Kwa uzoefu wa maofisin wanawake ndio kundi la watu waopingana kwa kila kitu,sasa kushare mume ni visasi na chuki ndio vinatawala.Hapa ndipo uzao wa chuki na ulipaji visasi unavyo ambukizwa kizazi na kizazi.

kuwa na wake wengi na kuzaa hovyo bila uchumi mzuri,hupelekea watoto kukosa kusoma Na mimba za utotoni.ENDELEA KUOA KWA WINGI
 
huo ndo mwisho wako wA kufikiri!!
 
Back
Top Bottom