Ilitarakimura
JF-Expert Member
- Feb 7, 2016
- 2,505
- 1,661
Ni mrejesho wa utafiti tu mkuu,punguza hasiraWewe fuata yako mkuu! Kutokuolewa kwetu ina hasara ganikwako?
Ni mrejesho wa utafiti tu mkuu,punguza hasiraWewe fuata yako mkuu! Kutokuolewa kwetu ina hasara ganikwako?
Kwel mkuuWanaonekana kama wanaume mara nyingi..
Kweli kabsaa mimi nishuhuda wa hilo aisee yupo prof wetu hapa chuon kwetu kaoa mdada wa form four tena ni mama wa nyumbani halafu ni mzur kinomaNa mara nyingi sana wasomi wakubwa hupenda kuoa form four leaver halafu wale wa kawaida sana kwa uzuri. Nina rafiki yangu kipenzi baba yake ni profesa lakini mama yake ni form four failure. Juzi pia nimemtembelea Mwanafunzi wangu ambaye baba yake ni profesa , mama yake alivyo HUWEZI amini kama ni mke wa profesa. Kifupi wanawake Wazuri, wanawake wa kidigitali na wanawake wasomi ni wa kulamba tu wengi sio wife materials.
My sweetheart siyo kwa kunitamanisha huku jamani!Me moree swireeharti"


........Natamani tuufute urafiki wetu ili tuingie kwenye mambo yetu yale!
Walimu wa kike hasa shule za msingi na sekondari. Wanaume tukisikia jina mimi ni mwl basi tunaamini huyu atakua mpole, anajua kelea, mvumilivu, ana lugha nzuri. Ukishamuoa na kuweka ndani unakuta yupo tofauti na ulivyo tarajia. Unakuta ni malaya, mlevi, domo chafu nk basi unaamua kupiga chini.Nilishangaa nilipoenda shule moja nikakuta kati ya walimu wanawake 15 waliolewa ni wawili tu
Wengi wameishiwa kuzalishwa tu. nilijiuliza sana .watu sijui wanawachukuliaje wanawake walioenda shule
Tatizo la wanawake wasomi Kujifanya wajuaji kwenye kila kitu.Kukusoa mbele za watu haoni haja anakuabisha mchana kweupe hasa kwa watu kama sisi tulioshia la 2 B
Muolewe mnalitia aibu taifa....Wewe fuata yako mkuu! Kutokuolewa kwetu ina hasara ganikwako?
Itakua ww ni nesiWewe fuata yako mkuu! Kutokuolewa kwetu ina hasara ganikwako?
My sweetheart siyo kwa kunitamanisha huku jamani!........Natamani tuufute urafiki wetu ili tuingie kwenye mambo yetu yale!
![]()

Rafiki hutaki kuonja damu changa jamani?Damu changa ni tamu kwelikweli!Jamaniii si wajua mimi na vijana ardhi na mbingu?
Rafiki hutaki kuonja damu changa jamani?Damu changa ni tamu kwelikweli!
Umemgusa kumoyo.Mbona jibu kavu hivi.

Yap.!Teh teh sio kila sehem kavu utatumia KY.![]()
![]()

Pole sana.Wanaume hamnaga jema sijui mpoje![]()
![]()
Umemgusa kumoyo.![]()
Inawezekana naye ni mmoja wao.
"Swamahani lakini"(in shilawadu voice)![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Pamoja sana inabidi tumuelezeYap.!
Sehemu zingine tunapakaga mate.![]()