Kwanini wanawake wa aina hii hawaolewi?

Kwanini wanawake wa aina hii hawaolewi?

Wasomi kwa ujumla wengi wao vimeo...uwaga hawajui kbs ku play part ya mke mwema...mwanamke kubwaaaaa ht kupika ubwabwa halijui...kufua nguo mbili tu shida sasa unaoa huyu wa nini?bado mda wote yupo busy na simu na ujinga ujinga...no quality kbs..
 
Wajuaji sana ndo maana.
Na kaumalaya ka kiaina wanako
 
Wanaume wa kiafrika asili yao ni kugandamiza wanawake kila kitu aamue yeye mali azifuje, tendoo la ndoa apange yeye , chakula kizuri apewe yeye.

Wanawake walioenda shule na wasomi wengi wamefundishwa haki za wanawake kupitia mfumo wa nchi za kimagharibi hivyo wanajitambua halafu wamejikomboa kiuchumi wana sauti ya ukombozi kupitia pesa zao hivyo hawapendi kubabaishwa na kiumbe mwingine.

Si kwamba hawapendi mahusiano la , ila wanaume wenyewe hukosa kujiamoni na kujiweka mnyonge akitaka mwanamke ambembeleze kila muda na kusahau kwamba nae ni jukumu lake so manzi anaona kama anazingua anampotezea na kutafuta mwingine. Ukiwa na pesa hakuna kinachoshindikana vijana wanapenda mserereko wanajipeleka wenyewe.

So maisha ya wanawake wasomi huenda kimtindo huo, hayataki stress, jamii inawanyanyapaa na wao wanashika 50 zao Mungu ndo anajua siku ya kuwafariji. Amina.
 
Et analala pekee yake!!!!
kweli mkuu,mimi nina jirani yangu nyumba ya pili hapa ni Dr.
madirisha yanatazamana analala peke yake pia,ila ana watoto watatu wamepishana mwaka mmoja mmoja!
 
Werevu mwingi mbele kiza...


Hili ndio jambo linalo waumiza wengi ,,kujifanya wanajua kila kitu hasa hasa ile issue ya 50/50,


Kumpata mwanaume anaekubaliana na hii 50/50 teh teh labda amuumbe wake...

Sasa hicho kitu mwanamme akikijua hata kama mko kwenye ndoa duuh hapo lazima mwanamke upigwe chini maana hakuna namna,,, ama la sivyo tegemea maelewano ndan hakuna mwisho wa siku maendeleo mnakomea kuyasikia kwa majirani

Kwa leo enough is enough.
 
Hapo kwenye WASOMI sasa umkute kasoma GENDER wanakua na hasira sana na wanaume.
Yaani hata kusex hua wanahisi wanaonewa.
 
Back
Top Bottom