Chukua like 1000 mkuu. mtoa mada ana matatizo binafsi.Wewe fuata yako mkuu! Kutokuolewa kwetu ina hasara ganikwako?
Tuwaseme tuuh..!Wewe fuata yako mkuu! Kutokuolewa kwetu ina hasara ganikwako?



na yeye anaweza akaw mmoja waoMbona jibu kavu hivi.
Siyo kwa povu hili.Wewe fuata yako mkuu! Kutokuolewa kwetu ina hasara ganikwako?
Limwagie maji lilowaneMbona jibu kavu hivi.
Et analala pekee yake!!!!Manesi umewaonea na Ma Lecturer wa kike Ongeza hapo Wengi Ma bachelors unakuta amekauka ana PhD lakini bado analala peke yake
Rafiki am missing you so much!Wewe fuata yako mkuu! Kutokuolewa kwetu ina hasara ganikwako?
Kwa nini usioleweWewe fuata yako mkuu! Kutokuolewa kwetu ina hasara ganikwako?
Rafiki am missing you so much!
Ni stress Hao kila kitu wanajuaUmesahau wanawake mawakili hao ni wajuaji sana
Dada we nomaDaaa hela kwanza mazeee